Yanga kumkosa Aucho mechi ijayo wanaweza kulizwa tena

Katika maelezo yooote hayo....haibadilishi ukweli Aucho ni mchezaji muhimu yanga, acha acheze na tabora kwanza nitakuja kukukumbusha hapa
Kwaiyo mchezaji muhimu alisajiliwa peke yake ndani ya timu, aucho anaweza kucheza peke yake ndani ya uwanja? Nini maana ya team work?
 
Aucho mbona hajacheza mechi mbili msimu huu na zote Yanga alishinda. Hoja yako wala haina msingi, hizo mechi nyingine alicheza Salum Abubakari na wala hakukuwa na shida.
Achana nae uyo vijana wa mangungu wamepata kichaka cha kujifichia kwenye matokeo ya Azam sasa Kila Mmoja anatoka shimoni na lakwake!
 
Malalamiko mengi ambayo mmeyatoa against refa kwenye mechi zetu ni mechi moja tu ya Azam ndio yanaweza kuonesha kuwa yapo closely na uhalisia.

Kwenye goli la Ngoma ndio lililokuwa na viashiria vya offside.

Sasa assume hilo goli lifutwe, still haitaondoa ushindi ambao ni matokeo ya mwisho kwasababu yalifungwa magoli mawili.

Lakini nyie katika mechi zenu zote ni chache sana ambazo zimemalizika bila kuwepo dosari.

Baleke offside, penati tatu zilizopetwa kwenye Derby.

Goli la Ken Gold kukataliwa.

Tukisema tufute hayo magoli na ku regulate bad decisions za waamuzi nyie hamkupaswa hata kuwepo kwenye nafasi ya 4 ya msimamo.
 
Makolo wamepata pa kusemea, basi wanaongea balaaa🤣🤣🤣
 
Mechi Moja ipi wewe point za Dodoma Jiji zilikuwa halali? Ile penalty ilikuwa halali? Yanga inajibeba yenyewe aibebwi na mtu na takwimu zinaongea sio mapambio, umepigwa mechi 4 mfululizo unawezaje kusema yanga anabebwa!
 
Gamond aambiwe ukweli, Sure Boy siyo namba 6 yule ukitaka kumfaidi acheze 8 mkude 6, Gamond Aache Ego🚮
 
We jamaa ni mnoma sana kula gwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…