Yanga Kumsajili Mchezaji nyota wa timu kubwa, Bango lake kuwekwa kwenye Jengo linalotazamana na Timu hiyo

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅

Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite na jengo la timu moja hapa nchini😅

Yani kwenye moja ya jengo la timu Fulani, yanga itakodisha jengo linalo angaliana na jengo la timu hiyo alafu ilojengo liliokodiwa na yanga itabandikwa bango kubwa la mchezaji huyo, ili hiyo timu itakayo kuwa jirani apo Iwe inamuona ona kwenye picha
Na picha hiyo itaishi kwenye jengo Hilo Kwa muda wa miezi 6 🔥😅😅😅

Unadhani atakua mchezaji gani huyo na hiyo picha itawekwa jirani na jengo la timu gani?!!
#travellerwayanga
 
Upuuzi tuu...bila,Simba hiyo utopolo haina content...
 
Bango lake kuwekwa kwenye Jengo linalotazamana na Timu hiyo
 
Ala kumbe Simba Kuna wachezaji nyota mpaka kuatamaniwa na utopolo? Maana mitopolo inatuaminisha hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kusajiriwa kwao kwani itakuwa hasara, mana ni wazee au hawana viwango. Kweli wenye akili ni wawili na Sasa injia ni watatu maana anawaburuza anavotaka
 
Hivi ni mimi tu ninayeona au ni kama Yanga wanalazimisha sana undugu na Simba wakati hawana hata time nao.

Kila siku wanapiga kelele Simba ina wachezaji wabovu ila hao hao wabovu wanawatamani hadi kupanga kuwawekea mabango wakiwasajili.
 
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅

Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite na jengo la timu moja hapa nchini😅

Yani kwenye moja ya jengo la timu Fulani, yanga itakodisha jengo linalo angaliana na jengo la timu hiyo alafu ilojengo liliokodiwa na yanga itabandikwa bango kubwa la mchezaji huyo, ili hiyo timu itakayo kuwa jirani apo Iwe inamuona ona kwenye picha
Na picha hiyo itaishi kwenye jengo Hilo Kwa muda wa miezi 6 🔥😅😅😅

Unadhani atakua mchezaji gani huyo na hiyo picha itawekwa jirani na jengo la timu gani?!!
#travellerwayanga
Ndio raha ya UTANI WA JADI
 
Simba hawatateseka milele. Siku wakizinduka mateso yanarejea Yanga
 
Hivi ni mimi tu ninayeona au ni kama Yanga wanalazimisha sana undugu na Simba wakati hawana hata time nao.

Kila siku wanapiga kelele Simba ina wachezaji wabovu ila hao hao wabovu wanawatamani hadi kupanga kuwawekea mabango wakiwasajili.
Kunywa maji mengi ili kupoza hasira inayowaka ka.a moto wa petrol
 
Kutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto 😅😅

Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite na jengo la timu moja hapa nchini😅

Yani kwenye moja ya jengo la timu Fulani, yanga itakodisha jengo linalo angaliana na jengo la timu hiyo alafu ilojengo liliokodiwa na yanga itabandikwa bango kubwa la mchezaji huyo, ili hiyo timu itakayo kuwa jirani apo Iwe inamuona ona kwenye picha
Na picha hiyo itaishi kwenye jengo Hilo Kwa muda wa miezi 6 🔥😅😅😅

Unadhani atakua mchezaji gani huyo na hiyo picha itawekwa jirani na jengo la timu gani?!!
#travellerwayanga
Mabango FC
 
Back
Top Bottom