Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wapi imetajwa simba?Ala kumbe Simba Kuna wachezaji nyota mpaka kuatamaniwa na utopolo? Maana mitopolo inatuaminisha hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kusajiriwa kwao kwani itakuwa hasara, mana ni wazee au hawana viwango. Kweli wenye akili ni wawili na Sasa injia ni watatu maana anawaburuza anavotaka
Una ubishani wa kitoto sana, kwahiyo injinia ameiongelea lipuli ya iringa. Kama hujui chagizo za hizi club mbili kwenye kutengeneza content za kwenda viral kaa mbali na mpira wa bongoWapi imetajwa simba?
Tunaleta mtu analeta impact,ni scudu kwa last season tuliyepigwa vibayaScouting ya wananchi iko vizuri
Mkuu Simba hii hii ambayo Kibu anawanyanyasa? Kiukweli imeniuma sana kuona hadi Kibu anawavimbia Simba......mmefika pabaya sanaUpuuzi tuu...bila,Simba hiyo utopolo haina content...
Kwani wakilazimisha undugu kuna raia yeyote ni atakufa? Kama hamna basi acha waendelee tuHivi ni mimi tu ninayeona au ni kama Yanga wanalazimisha sana undugu na Simba wakati hawana hata time nao.
Kila siku wanapiga kelele Simba ina wachezaji wabovu ila hao hao wabovu wanawatamani hadi kupanga kuwawekea mabango wakiwasajili.
Kabisa. Scudu hajaleta matokeo mazuri kama matarajio yalivyokuaTunaleta mtu analeta impact,ni scudu kwa last season tuliyepigwa vibaya
Bora tungesajili local player........Kabisa. Scudu hajaleta matokeo mazuri kama matarajio yalivyokua
Sawa basi tutamsajili huyo mchezaji wa Simba ili acheze bolingo kama makudubelaUna ubishani wa kitoto sana, kwahiyo injinia ameiongelea lipuli ya iringa. Kama hujui chagizo za hizi club mbili kwenye kutengeneza content za kwenda viral kaa mbali na mpira wa bongo
Naimani kwa sasa atakuja mzuriBora tungesajili local player........
Yeah nadhani Scudu,Lomalisa,Mauya,Denis Nkane,Mwamunyeto hawatakuwa sehemu ya timu next season,na wengine inawezekana wakaondokaNaimani kwa sasa atakuja mzuri
Kwani Mkude aliyewabeba kule South Africa naye mlimsajili kucheza Bolingo?Sawa basi tutamsajili huyo mchezaji wa Simba ili acheze bolingo kama makudubela
Ndio huyohuyoHawa wajinga wasije kutuletea tu kibu Denis maana hawakawii
Waongo hao, nungunungu wamemtoa wapi?Ala kumbe Simba Kuna wachezaji nyota mpaka kuatamaniwa na utopolo? Maana mitopolo inatuaminisha hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kusajiriwa kwao kwani itakuwa hasara, mana ni wazee au hawana viwango. Kweli wenye akili ni wawili na Sasa injia ni watatu maana anawaburuza anavotaka
Sasa kama ni hivyo mbona unalalamika Yanga kusajili. Hutaki au? Simba mbovu full stop. Wakija Yanga watapewa shule kama aliyopewa Mkude atubebeKwani Mkude aliyewabeba kule South Africa naye mlimsajili kucheza Bolingo?
Ni ww tuHivi ni mimi tu ninayeona au ni kama Yanga wanalazimisha sana undugu na Simba wakati hawana hata time nao.
Kila siku wanapiga kelele Simba ina wachezaji wabovu ila hao hao wabovu wanawatamani hadi kupanga kuwawekea mabango wakiwasajili.
Hapo Yanga kinachofanya ni kuwavuruga Simba,hata wale wachache wazuri kuwanunua ili tu Simba iwe mbovu zaidi,hilo ndo lengo lao.Hivi ni mimi tu ninayeona au ni kama Yanga wanalazimisha sana undugu na Simba wakati hawana hata time nao.
Kila siku wanapiga kelele Simba ina wachezaji wabovu ila hao hao wabovu wanawatamani hadi kupanga kuwawekea mabango wakiwasajili.
duh na mimi nilimsikiaKutoka insta live ya ally Kamwe , Leo engineer HERSI ametupa wananchi breaking news ya moto [emoji28][emoji28]
Engineer HERSI amesema kuwa katika msimu huu wa usajili dirisha kubwa , Kuna mchezaji mmoja uyo fundi akisajiliwa , itatengenezwa bango kubwa lenye picha ya mchezaji huyo alafu litabandikwa opposite na jengo la timu moja hapa nchini[emoji28]
Yani kwenye moja ya jengo la timu Fulani, yanga itakodisha jengo linalo angaliana na jengo la timu hiyo alafu ilojengo liliokodiwa na yanga itabandikwa bango kubwa la mchezaji huyo, ili hiyo timu itakayo kuwa jirani apo Iwe inamuona ona kwenye picha
Na picha hiyo itaishi kwenye jengo Hilo Kwa muda wa miezi 6 [emoji91][emoji28][emoji28][emoji28]
Unadhani atakua mchezaji gani huyo na hiyo picha itawekwa jirani na jengo la timu gani?!!
#travellerwayanga
Ni hao waandishi uchwara...wanatafuta watrend...Mkuu Simba hii hii ambayo Kibu anawanyanyasa? Kiukweli imeniuma sana kuona hadi Kibu anawavimbia Simba......mmefika pabaya sana