Yanga kumtambulisha coach Pedro Valdemour Soares, muda wowote

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Coach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans

Coach Pedro Valdemour Soares amewahi kufanya kazi Sporting sp, De Augosto, na Angola national team

Coach Pedro Valdemour Soares alifanikiwa kuufikisha Timu ya taifa ya Angola Robo fainali ya Afcon

Pia Coach Pedro Valdemour Soares ataambatana na Coach msaidizi Fellipe Pedo

Eng Hersi Said ameamua kutuletea pira Ureno, pira Ronaldo, pira Morinho, pira Figo

Welcome coach
Screenshot_20251025-111316.png
Screenshot_20251025-102247.png
 
Kwahiyo Mkuu jamaa ana mpira mkali kama wa Madagascar?
Huyu anamzidi wa Madagascar maana amefanya kazi pale Sporting sp ambayo ni timu kubwa pale Portugal, De Augosto ambayo ni timu kubwa Pale Angola na Africa Kwa ujumla,
Pia Amefika quarter final ya Afcon akiwa na Angola
Huyo wa Madagascar ni kama mkwasa mashindano yake makubwa ni Chan, ambayo mataifa makubwa kisoka Huwa wanayapuuza nchi kama Egypt, Algeria, South Africa, Tunisia, Ghana, Nigeria, Ivory coast n. K hawa Huwa hawawekezi nguvu zao CHAN
 
Ngara tangu lini ukawa mwanahabari? Enewei,tutampokea ila ahakikishe timu inakuwa katika fomu yake ya miaka mine iliyopita.vinginevyo hatafika pasaka.
 
Huyu anamzidi wa Madagascar maana amefanya kazi pale Sporting sp ambayo ni timu kubwa pale Portugal, De Augosto ambayo ni timu kubwa Pale Angola na Africa Kwa ujumla,
Pia Amefika quarter final ya Afcon akiwa na Angola
Huyo wa Madagascar ni kama mkwasa mashindano yake makubwa ni Chan, ambayo mataifa makubwa kisoka Huwa wanayapuuza nchi kama Egypt, Algeria, South Africa, Tunisia, Ghana, Nigeria, Ivory coast n. K hawa Huwa hawawekezi nguvu zao CHAN
Inatosha mkuu, tunamkaribisha sana Jangwani.
 
Coach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans

Coach Pedro Valdemour Soares amewahi kufanya kazi Sporting sp, De Augosto, na Angola national team

Coach Pedro Valdemour Soares alifanikiwa kuufikisha Timu ya taifa ya Angola Robo fainali ya Afcon

Pia Coach Pedro Valdemour Soares ataambatana na Coach msaidizi Fellipe Pedo

Eng Hersi Said ameamua kutuletea pira Ureno, pira Ronaldo, pira Morinho, pira Figo

Welcome coachView attachment 3493263View attachment 3493264
Ukikengeuka, kama ilivyo kawaida yako msomi wa UDSM, tutakukumbusha uzi huu
 
Back
Top Bottom