msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,796
- 9,165
Sidhani,,maana siku hizi makocha wasaidizi wanakuaga wawililaZima atolewe
Labda anaweza kuwa coach wa timu za vijana au kwenye utawala
Sidhani,,maana siku hizi makocha wasaidizi wanakuaga wawililaZima atolewe
Labda anaweza kuwa coach wa timu za vijana au kwenye utawala
Hapa kocha tunaye mkuu mwaka jana aliingia kwenye 10 bora ya makocha bora tuxo alichukua yule wa ivory coastHana mafanikio makubwa sana kimataifa ngazi ya vilabu akiwa kocha mkuu, ila kikubwa tunataka awe zaidi ya Gamondi katika upande wa kiufundi na kimbinu.
Hii ndoto iliishia wapi?Coach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans
Coach Pedro Valdemour Soares amewahi kufanya kazi Sporting sp, De Augosto, na Angola national team
Coach Pedro Valdemour Soares alifanikiwa kuufikisha Timu ya taifa ya Angola Robo fainali ya Afcon
Pia Coach Pedro Valdemour Soares ataambatana na Coach msaidizi Fellipe Pedo
Eng Hersi Said ameamua kutuletea pira Ureno, pira Ronaldo, pira Morinho, pira Figo
Welcome coachView attachment 3493263View attachment 3493264
Nilitia shaka mapema sana profile yake huyu kocha kwa ngazi ya vilabu.Hana mafanikio makubwa sana kimataifa ngazi ya vilabu akiwa kocha mkuu, ila kikubwa tunataka awe zaidi ya Gamondi katika upande wa kiufundi na kimbinu.
Walau alikuwa na CV yenye unafuu ukimlinganisha na mtangulizi wake Romain Folz, ni bahati mbaya kwake alishindwa kuirejesha timu kwenye ubora wake uliozoeleka! Lakini pia hakuwa mzuri kwenye kufanya sub wakati wa mechi inaendelea. Hivyo nimeunga mkono kutimuliwa kwake.Walau huyu ana CV inayoeleweka. Kazi itabakia tu kuibadilisha timu ndani ya muda mfupi.
Tumpe muda
Kwakweli pira ureno tumeliona🤣🤣🤣Eng Hersi Said ameamua kutuletea pira Ureno, pira Ronaldo, pira Morinho, pira Figo
Mule muleKocha akija huwa anasifiwa sana...
Tabu huwa inaanza timu ikianza kucheza
Pira Reno 😂😂😂Kwakweli pira ureno tumeliona🤣🤣🤣