Huyu anamzidi wa Madagascar maana amefanya kazi pale Sporting sp ambayo ni timu kubwa pale Portugal, De Augosto ambayo ni timu kubwa Pale Angola na Africa Kwa ujumla,Kwahiyo Mkuu jamaa ana mpira mkali kama wa Madagascar?
OkSio huyo
Inatosha mkuu, tunamkaribisha sana Jangwani.Huyu anamzidi wa Madagascar maana amefanya kazi pale Sporting sp ambayo ni timu kubwa pale Portugal, De Augosto ambayo ni timu kubwa Pale Angola na Africa Kwa ujumla,
Pia Amefika quarter final ya Afcon akiwa na Angola
Huyo wa Madagascar ni kama mkwasa mashindano yake makubwa ni Chan, ambayo mataifa makubwa kisoka Huwa wanayapuuza nchi kama Egypt, Algeria, South Africa, Tunisia, Ghana, Nigeria, Ivory coast n. K hawa Huwa hawawekezi nguvu zao CHAN
Ngoja awakande hiyo december ndo mtamuita Eminem vyema.Next Eminem
Ukikengeuka, kama ilivyo kawaida yako msomi wa UDSM, tutakukumbusha uzi huuCoach Pedo Valdemour Soares, ambaye ni raia wa Ureno tayari yupo nchi ili kukinoa kikosi cha mabingwa wa kihistoria nchini na club kubwa nchi na ukanda huu wa CECAFA Young Africans
Coach Pedro Valdemour Soares amewahi kufanya kazi Sporting sp, De Augosto, na Angola national team
Coach Pedro Valdemour Soares alifanikiwa kuufikisha Timu ya taifa ya Angola Robo fainali ya Afcon
Pia Coach Pedro Valdemour Soares ataambatana na Coach msaidizi Fellipe Pedo
Eng Hersi Said ameamua kutuletea pira Ureno, pira Ronaldo, pira Morinho, pira Figo
Welcome coachView attachment 3493263View attachment 3493264
Mabedi aliletwa kama kocha msaidiziKwa hiyo ma beid kibarua ndio kimeishia mechi mbili?
Sasa huyo kocha anayekuja si atakuja na msaidizi wake pia? Au nitakua nimesoma vibaya??Mabedi aliletwa kama kocha msaidizi
Kwa hiyo hapo lazima mabedi atoleweYah ana msaidizi wake Phillipe Pedro