Yanga kumtambulisha coach Pedro Valdemour Soares, muda wowote

Hana mafanikio makubwa sana kimataifa ngazi ya vilabu akiwa kocha mkuu, ila kikubwa tunataka awe zaidi ya Gamondi katika upande wa kiufundi na kimbinu.
 
Hana mafanikio makubwa sana kimataifa ngazi ya vilabu akiwa kocha mkuu, ila kikubwa tunataka awe zaidi ya Gamondi katika upande wa kiufundi na kimbinu.
Hapa kocha tunaye mkuu mwaka jana aliingia kwenye 10 bora ya makocha bora tuxo alichukua yule wa ivory coast
 
Hii ndoto iliishia wapi?
 
Walau huyu ana CV inayoeleweka. Kazi itabakia tu kuibadilisha timu ndani ya muda mfupi.
Walau alikuwa na CV yenye unafuu ukimlinganisha na mtangulizi wake Romain Folz, ni bahati mbaya kwake alishindwa kuirejesha timu kwenye ubora wake uliozoeleka! Lakini pia hakuwa mzuri kwenye kufanya sub wakati wa mechi inaendelea. Hivyo nimeunga mkono kutimuliwa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…