Yanga kuna tatizo

Yanga kuna tatizo

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi
  1. Kutoweka kwa benchi la ufundi; tangu Yanga imeanza pre season hakuna kinacho eleweka rasmi wako wapi wasaidizi wa kocha mkuu (Kocha msaidizi na kocha wa viungo). Wengine wanasema wamesusia kambi kwa sababu ya malimbikizo ya bonasi, wengine wanasema mikataba yao imeisha hivyo wanatafutwa wengine na wengine wanasema mchakato wa kuongeza mikataba bado hajakamilika. Kwa kweli haiingii akilini hata kidogo timu imeenda pre season na sasa inarejea haina hata kocha wa viungo, ni mazoezi gani wanafanya.
  2. Kichekesho kingine ni pre season ya siku nne Morocco, huku ni kuchezea pesa tu, utoke Tanzania na utumie siku 4 kusafiri (2 kwenda 2 kurudi) halafu ukae siku 4 tu pre season. Ni bora mara mia wangeenda hata pemba ambako wangefanya mazoezi ya muda mrefu. Huko Morocco walikoenda hata mechi 1 ya kirafiki hawakupata, wachezaji kama Aucho na Bangala wamefanya mazoezi siku 1 tu. Awali tulielezwa Yanga wangeondoka Morocco tarehe 27 na kufika tarehe 28 hivyo kuwahi mchezo wao wa wiki ya mwananchi tarehe 29. Kisingizio cha wachezaji 8 kuitwa timu za taifa hakina mantiki kwani Yanga ilikuwa na wachezaji 28 Morocco, na hata wakirejea kesho siwezi kuamini kwamba Yanga hawatafanya mazoezi bali watasubiria wachezaji wa timu za taifa. Mbona Simba yenye wachezaji 13 timu za taifa bado ipo Morocco.
Kuna tatizo Yanga, lakini bado haiwekwi wazi, na waandishi uchwara wa sports media za Tanzania wamewekwa mfukoni na hawafukuruti, yangetokea Simba haya ingekuwa ni scandal kubwa na big headings kwenye front pages, wachambuzi uchwara nao wangekesha kuchambua na kuisema vibaya Simba.
 
Umeweka wazi wewe ni shabiki wa Simba! Na umegundua Yanga kuna tatizo! Kwa sababu hawana walimu wasaidizi lakini pia wamekaa Morocco siku nne tu!

Badala ya kuwakejeli waandishi wa habari, kwa nini usiyaweke hayo matatizo ya Yanga? Au na sisi tuamini kwamba huu uzi wako umekaa kimajungu na kimipasho?
 
tatizo ni corona, michezaji 14 ya uto imekutwa na corona .
 
Tuseme mara ngapi, Simba waliorudi ni wale wa Taifa Stars pekee, wengine bado wanaendelea na Pre season Morocco
Wewe ni nani uwapangie watu cha kufanya! Hela ni za kwao!! Hawajamuibia mtu! Wameamua kurudi kwa interest zao, lakini wewe unaumia!!

Unashida mahali bila shaka!! Leave them alone!!
 
Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi
  1. Kutoweka kwa benchi la ufundi; tangu Yanga imeanza pre season hakuna kinacho eleweka rasmi wako wapi wasaidizi wa kocha mkuu (Kocha msaidizi na kocha wa viungo). Wengine wanasema wamesusia kambi kwa sababu ya malimbikizo ya bonasi, wengine wanasema mikataba yao imeisha hivyo wanatafutwa wengine na wengine wanasema mchakato wa kuongeza mikataba bado hajakamilika. Kwa kweli haiingii akilini hata kidogo timu imeenda pre season na sasa inarejea haina hata kocha wa viungo, ni mazoezi gani wanafanya.
  2. Kichekesho kingine ni pre season ya siku nne Morocco, huku ni kuchezea pesa tu, utoke Tanzania na utumie siku 4 kusafiri (2 kwenda 2 kurudi) halafu ukae siku 4 tu pre season. Ni bora mara mia wangeenda hata pemba ambako wangefanya mazoezi ya muda mrefu. Huko Morocco walikoenda hata mechi 1 ya kirafiki hawakupata, wachezaji kama Aucho na Bangala wamefanya mazoezi siku 1 tu. Awali tulielezwa Yanga wangeondoka Morocco tarehe 27 na kufika tarehe 28 hivyo kuwahi mchezo wao wa wiki ya mwananchi tarehe 29. Kisingizio cha wachezaji 8 kuitwa timu za taifa hakina mantiki kwani Yanga ilikuwa na wachezaji 28 Morocco, na hata wakirejea kesho siwezi kuamini kwamba Yanga hawatafanya mazoezi bali watasubiria wachezaji wa timu za taifa. Mbona Simba yenye wachezaji 13 timu za taifa bado ipo Morocco.
Kuna tatizo Yanga, lakini bado haiwekwi wazi, na waandishi uchwara wa sports media za Tanzania wamewekwa mfukoni na hawafukuruti, yangetokea Simba haya ingekuwa ni scandal kubwa na big headings kwenye front pages, wachambuzi uchwara nao wangekesha kuchambua na kuisema vibaya Simba.
Mapungufu haya yangekuwa yako upande wa Simba wale vibaka wa E-FM wakiongozwa na mchichamwiba Kijola wangekesha hata siku tatu kupiga madongo.
 
Umeweka wazi wewe ni shabiki wa Simba! Na umegundua Yanga kuna tatizo! Kwa sababu hawana walimu wasaidizi lakini pia wamekaa Morocco siku nne tu!

Badala ya kuwakejeli waandishi wa habari, kwa nini usiyaweke hayo matatizo ya Yanga? Au na sisi tuamini kwamba huu uzi wako umekaa kimajungu na kimipasho?
Wale wachambuzi wenu uchwara wakiongozwa na Kijola ina maana hawajaona haya mapungufu ila wanaona ya Simba tu?
 
Back
Top Bottom