Yanga kupewa adhabu ya kucheza mechi 3 bila ya mashabiki

Mechi ikiahirishwa na bodi ya ligi, timu zote hazitakiwi kwenda uwanjani.
Huo ni uvunjifu wa amani kwenda uwanjani siku ambayo hakuna mchezo.
Na kuna jinai inabidi viongozi wa Yanga wafunguliwe kwa kusababisha kifo cha yule shabiki.
 
Hamka utajikojolea kitandani.

Kukaidi mamlaka ya Bodi na kupeleka timu uwanjani baada ya kuambiwa mechi imeahirishwa nayo ina rungu lake special.
Sasa utajua,mtajua hamjui,jambolenu lipo CAS hivyo kaeni kwa kutulia na mjenge urafiki na Ruvu vinginevyo mtaona dunia imewadhulumu kumbe,dunia ni rafiki kwa kila kiumbe.
 
Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.

View attachment 3289706

Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.

Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.
Tatizo la mwezi mchanga ndo hili.
 
Sasa utajua,mtajua hamjui,jambolenu lipo CAS hivyo kaeni kwa kutulia na mjenge urafiki na Ruvu vinginevyo mtaona dunia imewadhulumu kumbe,dunia ni rafiki kwa kila kiumbe.
Kisa nyie mmejenga urafiki na Kiluvya FC ndiyo mnadhani kila timu ina fikra kama zenu.

Marafiki wa Simba ni Raja, Al Ahly, Stellenbosch, APR, Al Hilal, CSKA Moscow na matimu mengine ya Ulaya huko na America.

Dunia siyo fair. Sasa hivi Simba ipo kwenye nchi chimbuko la ustaarabu, Yanga ipo inachinja ng'ombe za kafara kwenye jimbo la Kigwangala.
 
Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.

View attachment 3289706

Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.

Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.
Hao watu wote wanaotembea wamevaa jezi za timu Zao huko mitaani, wanakuwa wametumwa na timu hizo?
 
Mechi ikiahirishwa na bodi ya ligi, timu zote hazitakiwi kwenda uwanjani.
Huo ni uvunjifu wa amani kwenda uwanjani siku ambayo hakuna mchezo.
Bodi ya ligi iliahirisha baada ya simba kugomea mchezo na huo ndio udhaifu wa bodi na tff tunaozungumzia, hakuna kanuni au sheria iliyoipa simba uhalali wa kukimbia mechi, tff ,simba na bodi wameonyesha ushaifu mkubwa sana
 
Ufanyiwe vurugu alafu uingie uwanjani ? Hiyo haipo ndugu yangu, Yanga yetu imetufedhehesha pakubwa , anyway tuendelee kuvumilia tu .
Hakuna vurugu ya maana iliyofanywa kwa simba, uefa na dunuani kote tunaona timu zinafanyiwa vurugu na mashabiki kabla ya mechi, juzi taifa stars iliwekewa figisu kufanya mazoezi morocco mbona hawakugoma ???
 
Kisa nyie mmejenga urafiki na Kiluvya FC ndiyo mnadhani kila timu ina fikra kama zenu.

Marafiki wa Simba ni Raja, Al Ahly, Stellenbosch, APR, Al Hilal, CSKA Moscow na matimu mengine ya Ulaya huko na America.

Dunia siyo fair. Sasa hivi Simba ipo kwenye nchi chimbuko la ustaarabu, Yanga ipo inachinja ng'ombe za kafara kwenye jimbo la Kigwangala.
Wa wananchi ni Real madrid,Baca,& Atletico madrod &,alike
 
Unainhiaje uwanjan wkt tayar kuna barua ya kkuhairishwa kwa mchezo?
NDio maana nasema simba walivyosusa bodi ya ligi badala ya kutoa adhabu stahiki kwa simba wakaamua kuahirisha badala ya kusimamia sheria na kanuni, yanga angepewa adhabu yake ya kuzuia kufanya mazoezi ila mechi ilitakiwa ichezwe hakuna mechi yoyote duniani iliyoahirishwa kizembe hivi ni udhaifu wa tff ,bodi ya ligi na simba
 
Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.

View attachment 3289706

Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.

Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.
Kufanya mazoezi ni kitu kimoja kufanya mashindano ni kitu kingine. Kuzuiwa kufanya mazoezi hakuna uhusiano na kuzuia kufanya mashindano.
 
Kanuni ya 32:11 inasema timu ikifanyiwa vurugu na timu pinzani na ikathibitika hivyo, basi timu iliyofanya vurugu inaweza kupewa adhabu kadhaa na mojawapo ya hiyo adhabu ni kucheza michezo yake ya nyumbani isiyopungua mitatu bila mashabiki.

View attachment 3289706

Katika barua ya Bodi ya Ligi waliyoitoa kwa umma 08/03/2024, walikiri kuwa moja ya sababu iliyosababisha wakaahirisha mechi ni kutokana na tuhuma za watu wa Yanga waliotambulika kwa sura kuwafanyia vurugu timu ya Simba ilipokuwa imeenda kufanya mazoezi usiku wa 07/03/2024.

Makosa waliyofanya Yanga yakiorodheshwa, sioni ni jinsi gani wanapata ujasiri wa kujitutumua kama wanavyofanya sasa hivi.
Mkuu huna kingine cha kufanya kila ukiamka asubuhi?
 
NDio maana nasema simba walivyosusa bodi ya ligi badala ya kutoa adhabu stahiki kwa simba wakaamua kuahirisha badala ya kusimamia sheria na kanuni, yanga angepewa adhabu yake ya kuzuia kufanya mazoezi ila mechi ilitakiwa ichezwe hakuna mechi yoyote duniani iliyoahirishwa kizembe hivi ni udhaifu wa tff ,bodi ya ligi na simba
Ikumbukwe hiv vitu vinvfanyika kwa barua simna hawakupeleka barua ya kugoma kupeleka timu walipeleka barua ya kufanyiwa fujo, bodi wakahairisha so simba still wako sawa. Kugoma ilikuwa story
 
VIongozi wao wakuu akiwemo magori alusema wazi wazi kupitia vyombo vya habari kwamba hawataleta timu uwanjani, bodi ya ligi kuona hivyo wakaamua kuahirisha mechi ili kuiokoa simba isipate adhabu full stop, kule ni kuleana hakuna sehemu yoyote duniani ulisikia timu imesusa kucheza ,hata uefa tunaona kuna timu zinafanyiwa fujo hadi mabasi yao kupigwa ila mechi huwa zinachezwa ,simba na bodi imeonyesha kiwango kikubwa cha utoto
 
Back
Top Bottom