Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B.
Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F. Mzize atapata fursa ya kwenda kupata uzoefu katika moja ya club hizo na wachezaji wote watadumu kwa msimu mmoja kabla ya kurejea kwenye vikosi vyao vya awali.
Wachezaji wote wanaruhusiwa kutumika kwenye ligi kuu endapo watapata nafasi.