Yanga kupokea wachezaji 3 toka La Liga

Yanga kupokea wachezaji 3 toka La Liga

Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B.

Ngoja tuone...ila ingependeza ungeweka na chanzo cha habari
 
Back
Top Bottom