Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
JFSource
Jf kubwa, au umeitoa kwa wazee wa kula tunda kimasihara
Vuteni subira, ni chanzo cha kuaminikaSource???
Source Inasemekana.Source
Wee acha kuota, yaan kinda aache kutafuta career yake kiweledi huko ulaya, aje huku kimbiji kawadanganye FB sio hapa JFVuteni subira, ni chanzo cha kuaminika
Unafahamu kuwa Yanga ina contract na La Liga?Wee acha kuota, yaan kinda aache kutafuta career yake kiweledi huko ulaya, aje huku kimbiji kawadanganye FB sio hapa JF
Nafahamu vizuri kabisaaUnafahamu kuwa Yanga ina contract na La Liga?
UHARO mwingine bwana [emoji1787][emoji1787]Taarifa toka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa Club ya Yanga inatarajia kupokea makinda 3 toka vilabu vya Villarreal na Atlético Madrid kama sehemu ya makubaliano yao na La Liga katika kubadilishana wachezaji wa timu B.
Makinda hao ni golikipa mmoja na washambuliaji 2, inasemekana Clement F. Mzize atapata fursa ya kwenda kupata uzoefu katika moja ya club hizo na wachezaji wote watadumu kwa msimu mmoja kabla ya kurejea kwenye vikosi vyao vya awali.
Wachezaji wote wanaruhusiwa kutumika kwenye ligi kuu endapo watapata nafasi.
Source: Trust me bro! [emoji2][emoji2]Vuteni subira, ni chanzo cha kuaminika