Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

Eti nchi itasimama, mpira umeingiliwa na wapenda siasa...
 
Oooh Wananchi nao washaanza mambo yao nia yao kutukeraaaa tu
......lete mzunguuuuu......
 
Yanga tuko na Visionary leaders, Stay tuned Mwananchi,,,, Kama kawaida yetu kesho nchi yote macho kwa Yanga
 
Simba inaenda kuwa club ya hovyo sana,haya maviongozi yanafanya kazi gani kama usajiri tu Manzoki yameshindwa.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Kesho wanatambulisha afusa habari
Na malalamiko ya maamuzi ya referee kayoko
 
Simba inaenda kuwa club ya hovyo sana,haya maviongozi yanafanya kazi gani kama usajiri tu Manzoki yameshindwa.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app

Unamuona wa maana sana, watu watoe 300m kwa mtu ambae mkataba wake uko na miezi 2 tu. Kmaa atakuja Yanga ni sababu ya urafiki wao ule wa Siku ya mwananchi na watakua wanafanya kuwakomoa Simba.
 
"Jambo la Nchi kwa Wananchi.

Kaa tayari......."

🔍 Young Africans sports club

Tunaenda Kusimamisha Nchi
CBF52E16-1ED7-4F5B-8DFE-5F5587CEA6DB.jpeg
 
Kuna uwezekano mkubwa mkutano wa Yanga leo na waandishi habari ukatumika kumtangaza Ally Kamwe kwenda kuwa afisa habari wa Yanga.
 
Back
Top Bottom