Yanga Kusimamisha Nchi Kesho Saa 5:00 asubuhi

Nimeskia gsm wanatambulisha godoro lao jipyaaaa,hili ukilala linakumassage massage kabisa ni zuri ilooooo linajua iloooo ...hawajamalidhaaaaaaaaaa
 
Ally kamwe anakadi ya uanachama wa Yanga?

Maana vigezo walivyoweka vilikuwa vinamtaka kila muania kuwa ni mwanachama hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…