Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

kocha Nabi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2022
Posts
709
Reaction score
1,881
Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.

Wangeweka hata saa 12:00 jioni.

Screenshot_20230521-205231~2.png
 
Wacheze hata saa nne asubuhi
Mshindi atafahamika tu
 
naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. mana huu mda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.

wangeweka hata saa 12:00 jioni.
View attachment 2630514
Ni kama uelewi kinachoendelea. Baada ya itilafu za kupungua kwa mwanga uwanja wa Mkapa, kuna maamuzi yaliyotolewa ikiwemo kusimamishwa viongozi na pia ikatolewa tamko kuwa mechi zote zilizobaki katika michuano ya CAF itachezwa saa kumi.
 
Ndio hakika lazima tuepuke tuhuma hizo maana kama mambo ya kuzimika taa yakianza huwa inaleta ukakasi sana.
 
Uwanja wa Mkapa unatakiwa uwe na standard za ulinzi na usalama kama ofisi kubwa ya nchi au kituo cha jeshi kwa sababu unakusanya idadi kubwa ya watu kwa wakati mmoja. Kuhakikisha unakuwa na umeme wa uhakika usio na hitilafu ni jambo linalowezekana kama wahusika wakiamua.
 
Ni kama uelewi kinachoendelea. Baada ya itilafu za kupungua kwa mwanga uwanja wa Mkapa, kuna maamuzi yaliyotolewa ikiwemo kusimamishwa viongozi na pia ikatolewa tamko kuwa mechi zote zilizobaki katika michuano ya CAF itachezwa saa kumi.
Ndio maana imekaa alama ya kuuliza kwenye heading, kuwa sielewi kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom