kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
Wewe ninani nchi hii hadi unaandika huu uchafu?naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. mana huu mda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.
wangeweka hata saa 12:00 jioni.
View attachment 2630514
Hao ni waarabu lazima wachezeshwe mchana hakuna namnanaona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. mana huu mda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.
wangeweka hata saa 12:00 jioni.
View attachment 2630514
Ni kama uelewi kinachoendelea. Baada ya itilafu za kupungua kwa mwanga uwanja wa Mkapa, kuna maamuzi yaliyotolewa ikiwemo kusimamishwa viongozi na pia ikatolewa tamko kuwa mechi zote zilizobaki katika michuano ya CAF itachezwa saa kumi.naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. mana huu mda sijawahi kuupenda katika maisha yangu.
wangeweka hata saa 12:00 jioni.
View attachment 2630514
Ndio maana imekaa alama ya kuuliza kwenye heading, kuwa sielewi kinachoendelea.Ni kama uelewi kinachoendelea. Baada ya itilafu za kupungua kwa mwanga uwanja wa Mkapa, kuna maamuzi yaliyotolewa ikiwemo kusimamishwa viongozi na pia ikatolewa tamko kuwa mechi zote zilizobaki katika michuano ya CAF itachezwa saa kumi.
Nimeuliza tu mkuu unahusika nini?Wewe ninani nchi hii hadi unaandika huu uchafu?