choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
You are absolutely right dude.Huenda wanaogopa wakimuachia bila yeye kufuata taratibu basi wachezaji wengine pia wanaweza kuja kufanya hivyo,
So, hapo ni sawa na kuwa wanatuma msg kuwa taratibu lazima zifuatwe.
Wataalamu wataelezea zaidi, mimi mimeandika mawazo yangu tu.
Mkuu toa mawazo yako pasipo kufikiria watu watakuonaje au kukuelewaje.Hili Jambo tukieleza Kisheria tunaonekana mashabiki wa Yanga. Lakini Hakuna popote duniani timu/Taasisi itaruhusu mchezaji/mwajiwake aache kazi anavyojisikia bila kufuata taratibu kisa tu kalipa hela ya kununuliwa au mshahara wa mwezi mmoja.
Scenario ya Msuva na Wydad ni tofauti na hii scenario ya Yanga na Fei Toto.Sheria za boli zinambana Fei. Hapa utopoloni kwetu Yanga hatoshinda maana club ni kubwa kuliko mtu Hilo Fei hakujua sababu ya umri mdogo , majivuno, kiburi na kukosa vidato.
Nadhani Shangazi Fatma ni mzuri mno kwani English yake Huwa ni first class na anaijua Sheria ndani nje halafu Yuko smart sana upstairs , I propose yeye Fatma na mwanae Fei waende CAS au FIFA wataeleweka and watapata haki yao.
Mbona Msuva alishinda kesi na Wydad. Fei unakwama wapi?
Wanayanga tuna haki ya kujua ni nani aliempa Fei Ile millioni 100 ya kulipa. Kuna mganga kiboko wa kushughulikia vivuruge!
Yanga wameshasema kwa sasa hawamuhitaji na hawana tena mpango wa kumtumia Feitoto kwenye kikosi chao, lakini bado ni mchezaji wao. Sasa wanapata faida ipi hapo?Hawamng'ang'anii, ni mchezaji wao halali
Ndio maana nauliza, nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania mchezaji ambaye haihitajiki tena kwao?Kwa hali ilivyo sasa na hili sakata lake, hata akirudi sidhani kama anaweza kuwa na ile hali ambayo mashabiki wamezoea kuiona
Katika hali ya kawaida, suala la ufanisi wa timu linategemea mahusiano ya hiari yaliyopo baina ya Timu na mchezaji husika. Timu ikimchoka mchezaji itatafuta namna ya kumuacha mchezaji na mchezaji akiichoka timu atatafuta namna ya kuondoka, kwa namna yoyote ile hiyo hali lazima ifikiwe.Huenda wanaogopa wakimuachia bila yeye kufuata taratibu basi wachezaji wengine pia wanaweza kuja kufanya hivyo,
So, hapo ni sawa na kuwa wanatuma msg kuwa taratibu lazima zifuatwe.
Wataalamu wataelezea zaidi, mimi mimeandika mawazo yangu tu.
Aondoke katikati ya mkataba lakini pesa iwe ndefu.Katika hali ya kawaida, suala la ufanisi wa timu linategemea mahusiano ya hiari yaliyopo baina ya Timu na mchezaji husika. Timu ikimchoka mchezaji itatafuta namna ya kumuacha mchezaji na mchezaji akiichoka timu atatafuta namna ya kuondoka, kwa namna yoyote ile hiyo hali lazima ifikiwe.
Feitoto haitaki tena Yanga......
Yanga haina tena mpango wa kumtumia Feitoto.....
Sasa Yanga wanamng'ang'ania mchezaji wa namna hiyo wa nini?
Ni vipi tena useme Feitoto anaitaka Yanga wakati ameshaaga na hayupo hata kambini?Feisal ndio ana ing'ang'ania Yanga angekua na nia ya kuondoka mbona njia zipo wazi? mtu unalazimisha kupita dirishani wakati mlango upo then unasema umezuiliwa!
Mkataba unatakiwa useme hivyo, mkataba wa Feitoto umesema Feitoto anatakiwa kulipa around 100m ili kuvunja mkataba wake (na amezilipa tayari), issue ambayo Yanga wanasimamia ni kuwa, utaratibu wa kufikia hapo haukufuatwa na Feitoto. Sasa suala lilllopo hapa ni kuwa, ni vipi Yanga wanafaidika na Feitoto kwa sasa?Aondoke katikati ya mkataba lakini pesa iwe ndefu.
Hao wanaomtaka wakitoa pesa ndefu. Yanga watamuachia tu, kwani Yanga hawahitaji pesa?
Sababu za maana ndio zipi?Hujauona mkataba wa Fei waliuweka humu jf Wewe ulikuwa Bado unanyonya!
Mkataba niliusoma humu JF unasema Fei Anatakiwa akishalipa hizo pesa 100m za usajili na mishahara 3 kisha ataje na sababu "za maana" za kuvunja mkataba ambazo kiukweli Hana na hakutaja na mkataba unasema Yanga Wana haki kisheria ya kuzikubali au kuzikataa sababu za Fei-kubwa maana dogo keshaota mapembe ATI. Yaani hata angetaja sababu za kutoka mbinguni Yanga wangesema "Si za maana" na wangeshinda kesi , Fei msaidieni kwa kumwambia awalete warubuni wake Mezani walipe hiyo 1B wasepe nae , uhuni Huwa Hauna nafasi mbele ya sheria!
Wanayanga tutajiwe aliempa Feitoto Ile milioni 100 ni haki yetu in exchange with our coming to support our team pale Chamazi
Una uchungu sana nduguMijitu inabadili logo za watu kimakusudi kisa rangi ndio itaweza kuheshimu vipengele vya mkataba vya mchezaji?
Nb tff wanafanya wanayofanya ili kubalance wasionekane ni simba
Yanga ni taasisi mkuu.Ndio maana nauliza, nini mantiki ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania mchezaji ambaye haihitajiki tena kwao?
Aje mezani tuyamalizeNi vipi tena useme Feitoto anaitaka Yanga wakati ameshaaga na hayupo hata kambini?
Kama mchezaji ameamua kuondoka bila kufuata utaratibu (ametoroka na hataki kurudi), suluhisho ni kuendelea kumng'ang'ania au kumfukuza kabisa?
Ukiambiwa kuvunja mkataba ni 100 millions, usichukulie kirahisi kuwa unawapa hiyo hela halafu unasepa.Mkataba unatakiwa useme hivyo, mkataba wa Feitoto umesema Feitoto anatakiwa kulipa around 100m ili kuvunja mkataba wake (na amezilipa tayari), issue ambayo Yanga wanasimamia ni kuwa, utaratibu wa kufikia hapo haukufuatwa na Feitoto. Sasa suala lilllopo hapa ni kuwa, ni vipi Yanga wanafaidika na Feitoto kwa sasa?
Hapo kwenye bila utaratibu ndio patakapo muumiza na ata umia kweli, mpka sasa Yanga hawana shida nae ila wanataka wamtie adabuNi vipi tena useme Feitoto anaitaka Yanga wakati ameshaaga na hayupo hata kambini?
Kama mchezaji ameamua kuondoka bila kufuata utaratibu (ametoroka na hataki kurudi), suluhisho ni kuendelea kumng'ang'ania au kumfukuza kabisa?
Mijitu inabadili logo za watu kimakusudi kisa rangi ndio itaweza kuheshimu vipengele vya mkataba vya mchezaji?
Nb tff wanafanya wanayofanya ili kubalance wasionekane ni simba