Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
- #41
Hivi nikuulize tena.Huu uswahili wenu kwenye mikataba ndiyo umesababisha mkamtoa Faisal chambo.
Muambieni huyo dogo ukweli kuwa mmemuingiza chaka afanye hima achutame.
Kuna namna yoyote kwa Yanga kuweza kumtumia uwanjani na kufaidika na Feitoto?
Ama Yanga inaona fahari kumkomoa Feitoto?
Swali linabakia pale pale, Yanga wanapata faida gani kwa sasa kuendelea kumng'ang'ania Feitoto?