Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

DEAL DONE
REFA ANACHEKAA TU ..POLENI WANA YANGA WENZANGU HALI AIKUWA RAHISI REDA ALISHAPOKEA MAELEKEZO A KILICHOTAKIWA N NIDHAMU REFA ALIJUA HAWEXI TENA KUIPENDELEA SIMBA XAIDI YA KUWATOA YANGA MCHEZONI

NAJUWA HIVI SASA WACHAWI WALIOTOA MAELEKEXO WAKO UWANJAN WANASHANGILIA OTHERWISE NAWATAKIA DK NJEMA ZA FURAHA AMA DRW

AFIRWEEEMUNUAFIGALWEMUNUUU
 
Sawa tumekuelewa mkia
 
Mukoko achunguzwe,haiwezekani ndani ya pitch fainali inachezwa alafu umpige kiwiko mchezaji wa timu pinzani unategemea nini kama sio mpango maalum kapanga kuiua Yanga.
 
nimemaanisha red card kama title inavyosema.Sio ushindi
Na mimi nimemaanisha hivyo hivyo my dear! Timu inaweza ikacheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza, na bado ikashinda mchezo.
 
Leo kweli hatuchomoki kabisa
Ni mapema sana kukata tamaa! Sema tu kocha anazingua kufanya maamuzi magumu ya kumtoa Ditram Nchimbi na hivyo kumuingiza beki kama Lamine Moro, au viungo kama Said Juma Makapu, Deus Kaseke au hata Ninja!

Hawa mbumbumbu wakifika kwenye penati, ni rahisi kushindwa! Maana watapaniki.
 
Hivi ile red card Yanga wanaweza kusema wameonewa? Au tusema huyo Tonombe amekula mlungula ampige mwenzake wa Sima kipepsi cha kishamba?
 
Hivi ile red card Yanga wanaweza kusema wameonewa? Au tusema huyo Tonombe amekula mlungula ampige mwenzake wa Sima kipepsi cha kishamba?
Ni kadi halali maana Mukoko alibughudhiwa kutokea nyuma. Hivyo kama binadamu, alipandwa na jazba. Ingawa kwa uzoefu na uprofesional wake, alitakiwa kujizuia kufanya vile.

Na binafsi nitakuwa ni wa mwisho kuamini kama amepewa huo mlungula. Kwenye mpira mambo kama haya hutokea na hasa joto linapokuwa limepanda mwilini.
 
Duuh
 
Kocha naye amezingua! Timu iko pungufu, ametolewa kiungo mkabaji! Badala ya kuingiza viungo wakabaji, anaingiza mshambuliaji na kiungo mshambuliaji tena!

Maamuzi mabovu kabisa haya!
 
Yanga watafute washambuliaji wazuri ndiyo watakuwa na matumaini ya kuipiku Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…