Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

Yacouba lengo lake ilikuwa kuzuia Simba wasianzishe pigo la faulo la haraka.
 

Amna kitu mpira umewashinda mmeanza viwiko..
 
Alichokifanya Onyango kumpush yule dogo wakati refa kishaweka faulo, tunakiitaje? Kinaitwa Retaliation

Kinaitwa Retaliation ama faulo ya kulipizia

Retaliation is a straight red card because initial incident is seen as a challenge for the ball, whereas the retaliation is seen as violence for violence' sake
 
Mkuu nafikiri ungefungua church hata ka mkubwa gwaji asingekufikia kwa waumini,,, jikite huko mkuu fursa hiyo
 
tulipomkataa refa sio kwamba tulikuwa wajinga
Tulijua kitakachotokea huko,huyu mpuuzi kaua vibe ya mechi kiboya
Hata kama mnahonga lakini sio wazi hivi..
Jumlisha na vitendo vya kihuni vya kina onyango, wawa na bocco tena huyu bocco kaanza kumchezea rafu mkoko since mechi ile iliyopita.mukoko nae ni binadamu na uvumilivu unamshinda

Refa alitakiwa kutumia fair play ukizingatia ilibaki dakika kama 2 kipindi kiishe na ile ni Final huwezi kugawa kadi kienyeji namna ile
 
Wacha kujiliwaza, tengenezeni timu ya kushindana na Simba wacheni hizi kelele zenu na ile timu yenu ya mchangani.
 
Amna kitu mpira umewashinda mmeanza viwiko..
Waache wajidanganye tu, nxt season wanaenda klabu bingwa afrika watakula za kutosha kule hamna marefa wakuwabeba kama bongo.
 
Ulisema kweli maana refa na simba na Tff lao moja nini ,sasa yametokea kweli
 
Kila laheri Simba, game tumeshaimaliza. Walishinda mechi isiyo na umuhimu kwao wakashangilia week nzima. Sisi leo tunabeba kombe lingine.
Ilikuwa na umuhim kufungwa kwenye ligi ni tofauti na hilo kombe la azam elewa mburulaz
 
Uongozi wa Yanga ufuatilie mazungumzo ya simu ya Mukoko siku kadhaa kabla ya mechi! Yule boya kapigwa mlungula sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…