Yanga mjitathmini na ubingwa wenu wa kihistoria

Wasalaaam wana jukwaaa..kwanza nipende kuwapongeza watani kwa kuchukua kombe msimu huu baada ya kuhenyeka kwa miaka minne bila bila? Yani achana tu na kukosa kombe walipigwa na uhaba wa pesa si mchezo yani kiufupi walihenya hivyo basi kwa heka heka hizo hatuna budi kuwapongeza. .mimi Simba dada

Nije kwnye lile nalotaka kulizungumzia..Yanga mnajikweza na kujimwambafy na kujiona mmefika eti kisa tuuu mmechukua kombe mara 28 hivi hili nalo ni la kuliongelea kila leo? Wakati makombe mengine mmechukua hata member wengine hawajazaliwa humu kiasi kwamba mnaridhika na matokeo haya ya ligi kuu kimataifa mnatupwa huko.

Sasa unajisifu ww ni bingwa mara 28 hujulikani hata kwny ramani ya soka la Africa huoni kwamba unapoteza muda na mashabiki zako humu humu au wenzetu hamtaki soka la biashara soka la kiushindani?.yani nyie kombe la ligi kuu mkichukua mnanyanyua miguu juu hebu amkeni safari hii hatutaki aibu hayo makombe yenu yasadifu uhalisia.

Halafu hivi hapa nchini timu zetu zina kombe moja tuu ambalo linahesabiwa?.ukijumuisha yote Simba baba lao ana makombe mengi zaidi au nyie hayo hayawahusu? Mimi nakerwa sana mtu unamkuta anaanza kwa kusema sisis Yan'ga mabingwa wa kihistoria sasa nani anaetaka kujua historia hapa wakati hata shule somo la historia limefutwa. Tunachotaka kujua maendeleo ya timu hapa namaanisha timu kwa sasa inavyoperfom na matokeo yake,uwekezaji wake, na inatuwakilishaje kimataifa na sio porojo za sisi ni mabingwa kihistoria.

Hapa pia mjifunze kwa Simba hawadharau mechi au mashindano yoyote kama kuna mashindano ya kugombea kombe lolote inajitoa na sio kukamia ligi kuu ndo maana wanawazidi kwa makombe ya mjumuisho. Sema tuu upepo mbaya umeipitia timu yangu msimu huu tumeondoka na kombe la mapinduzi pekee.

Mwisho niwakumbushe msimu ujao utakua wa motoooo yani motooo mjiandae kisaikolojia msikariri kuwa kila msimu tunaachiana misimu 4 mi 4 safari hii huu mmoja unawatosha.

Adhuhuri njema.

Kalpana
Kwa hiyo ulitaka wajivunie wakifikisha mara ngapi? Kwani nyie hamringi kisa mna idadi ndogo?
 
Maisha sio uniform kuwa tufanane, linalo kukera wewe mwingine analifrahia.
Fanya kutulia basi
 
Wakati Hadi Sasa mmesha bugi hapo Kwa kocha 🤔
Kocha ana shida gani? Mshamfanyia uhakiki naona nyie utopolo na kupata majibu kuwa hafai? Au mnawasikiliza mashabiki uchwara humu wa simba?
 
Wasalaaam wana jukwaaa..kwanza nipende kuwapongeza watani kwa kuchukua kombe msimu huu baada ya kuhenyeka kwa miaka minne bila bila? Yani achana tu na kukosa kombe walipigwa na uhaba wa pesa si mchezo yani kiufupi walihenya hivyo basi kwa heka heka hizo hatuna budi kuwapongeza. .mimi Simba dada

Nije kwnye lile nalotaka kulizungumzia..Yanga mnajikweza na kujimwambafy na kujiona mmefika eti kisa tuuu mmechukua kombe mara 28 hivi hili nalo ni la kuliongelea kila leo? Wakati makombe mengine mmechukua hata member wengine hawajazaliwa humu kiasi kwamba mnaridhika na matokeo haya ya ligi kuu kimataifa mnatupwa huko.

Sasa unajisifu ww ni bingwa mara 28 hujulikani hata kwny ramani ya soka la Africa huoni kwamba unapoteza muda na mashabiki zako humu humu au wenzetu hamtaki soka la biashara soka la kiushindani?.yani nyie kombe la ligi kuu mkichukua mnanyanyua miguu juu hebu amkeni safari hii hatutaki aibu hayo makombe yenu yasadifu uhalisia.

Halafu hivi hapa nchini timu zetu zina kombe moja tuu ambalo linahesabiwa?.ukijumuisha yote Simba baba lao ana makombe mengi zaidi au nyie hayo hayawahusu? Mimi nakerwa sana mtu unamkuta anaanza kwa kusema sisis Yan'ga mabingwa wa kihistoria sasa nani anaetaka kujua historia hapa wakati hata shule somo la historia limefutwa. Tunachotaka kujua maendeleo ya timu hapa namaanisha timu kwa sasa inavyoperfom na matokeo yake,uwekezaji wake, na inatuwakilishaje kimataifa na sio porojo za sisi ni mabingwa kihistoria.

Hapa pia mjifunze kwa Simba hawadharau mechi au mashindano yoyote kama kuna mashindano ya kugombea kombe lolote inajitoa na sio kukamia ligi kuu ndo maana wanawazidi kwa makombe ya mjumuisho. Sema tuu upepo mbaya umeipitia timu yangu msimu huu tumeondoka na kombe la mapinduzi pekee.

Mwisho niwakumbushe msimu ujao utakua wa motoooo yani motooo mjiandae kisaikolojia msikariri kuwa kila msimu tunaachiana misimu 4 mi 4 safari hii huu mmoja unawatosha.

Adhuhuri njema.

Kalpana
Ww ni nani!?
 
[emoji3516][emoji3516] Haya ndo maumivu nasemea [emoji28] kukosa Kombe Mtani. We Msimu mpya hata haujaanza ushajipigia hesabu za kulichukua. Lol

Tengeneza timu kwanza haya ya ubingwa tuachie mabingwa wa kihistoria. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtani nakutafuta, naomba nikione kiatu cha mfungaji bora, alichopewa Mayele.

Unaloooooo mtani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa. Nimekuja Mtani.

Kiatu hicho kwiiio. 😂😂💃
 
Makolo mnapoteana sana aisee.

Huyu kiumbe analidharau kombe la ligi kuu wakati, kuchukua ubingwa wa ligi kuu ndo tiketi ya kwenda huko kimataifa.

Yaani anaidharau primary wakati ili kufika chuo inabidi apitie huko kwanza.

Haya hebu tuambie makolo msimu ujao mmejipanga vipi kwenda kimataifa bila kucheza na kuwa nafasi 2 za juu ligi kuu!??
Maana unavoikandia ligi kuu utadhani si lolote si chochote.

Sasa mabingwa wa kihistoria hatuna dharau za kijinga na tumekuja kivingine, msimu huu limetuponyoka moja, ujao hatuachi kitu.

Na andaa uzi mrefu kama huu maana august hatukuachi, lazima utimue kocha tena.
 
Jitahidini muongeze historia ya kuingia kwa mara ya kwanza kwenye group stage toka 1998 hahahah
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom