Yanga mkiwa mnaiga mambo ya jezi mtumie na akili kidogo

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.

Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).

Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.

Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu 😆😆

Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.

Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
A31802AB-5F35-4381-AAF3-1811AA85E7CE.jpeg
E8DBEE10-5846-4ABD-AD3B-676F4E898CEC.jpeg
 
Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.

Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).

Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.

Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu 😆😆

Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.

Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
View attachment 2383656View attachment 2383657
Wape chupi yako wavae,mimi naomba bando lipunguzwe mda.
 
Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.

Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).

Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.

Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu [emoji38][emoji38]

Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.

Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
View attachment 2383656View attachment 2383657
Aliyekuambia wanazo akili kakuongopea hawa ni hamnazo
 
Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.

Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).

Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.

Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu 😆😆

Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.

Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
View attachment 2383656View attachment 2383657
Ila mimi napenda sana kuona siku hizi mashabiki wa simba wanateseka sana na yanga yani hiyo mimi ndio furaha yangu...
 
Mpira wenyewe tumeiga, tunaiga na tutaendelea kuiga toka uko uko ulaya sembise jezi? Mm ni simba ilq hapa makolo umewaonea
Mbona husemi tumeiga kuweka majina mgongoni?
Mbona husemi tumeiga kuweka wazamini mbele ya jezi au begani?
 
Za nyuma ya pazia ni kwamba hizo jersey walipanga kuzizindua endapo wangefanikiwa kufika hatua ya makundi ili wakazivae huko, ila kwakua matumaini hayapo tena wameamua kuzitoa ili biashara isife.
 
Back
Top Bottom