Yanga mkiwa mnaiga mambo ya jezi mtumie na akili kidogo

Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.

Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).

Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.

Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu 😆😆

Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.

Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
View attachment 2383656View attachment 2383657
Acha wivu Lunyaasi wewe🦁🏃🏃
 
Huyo ni Baba wa Taifa RIP, kukaa hapo ndo mahala pale tunamkubali, alikuwa mwanachama namba moja na Uzi tumeuelewa sana.
 
Back
Top Bottom