bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Bongo kila mtu ni FBI Nyerere day ni tarehe 14 mechi za kufuzu zinachezwa tarehe 16 hizo jezi wangezindua lini kama sio before Nyerere day?Za nyuma ya pazia ni kwamba hizo jersey walipanga kuzizindua endapo wangefanikiwa kufika hatua ya makundi ili wakazivae huko, ila kwakua matumaini hayapo tena wameamua kuzitoa ili biashara isife.