Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ni kweli tungeshona kaniki home kit,kanga away kit.Basi hata hizo jezi wasivae wavae khanga maana nazo tumeiga hukohuko mbele.
Wape chupi yako wavae,mimi naomba bando lipunguzwe mda.Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.
Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).
Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.
Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu ππ
Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.
Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
View attachment 2383656View attachment 2383657
Aliyekuambia wanazo akili kakuongopea hawa ni hamnazoYanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.
Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).
Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.
Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu [emoji38][emoji38]
Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.
Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
View attachment 2383656View attachment 2383657
Ila mimi napenda sana kuona siku hizi mashabiki wa simba wanateseka sana na yanga yani hiyo mimi ndio furaha yangu...Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day.
Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani).
Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu.
Sasa huku kwetu Utopolo wanaiga beji na kuiweka picha ya mtu ππ
Mna wazo zuri ila hiyo beji kifuani imeharibu kila kitu.
Teko Modise,
Temeke, SUDAN.
View attachment 2383656View attachment 2383657
Kwani huyo mleta Mada mmoja tuu ndo "mashabiki wa simba"?Ila mimi napenda sana kuona siku hizi mashabiki wa simba wanateseka sana na yanga yani hiyo mimi ndio furaha yangu...