Yanga mkiwa mnaiga mambo ya jezi mtumie na akili kidogo

Za nyuma ya pazia ni kwamba hizo jersey walipanga kuzizindua endapo wangefanikiwa kufika hatua ya makundi ili wakazivae huko, ila kwakua matumaini hayapo tena wameamua kuzitoa ili biashara isife.
Bongo kila mtu ni FBI Nyerere day ni tarehe 14 mechi za kufuzu zinachezwa tarehe 16 hizo jezi wangezindua lini kama sio before Nyerere day?
 
Usiwapangie,
Hilo eneo wanawekaga vitu vingi sio ubingwa wa dunia pekee.
Jezi nzuri, wanangu utopolo hizi zilifaa kuwa jezi rasmi kabisa.

Hongereni watani.
 
Bongo kila mtu ni FBI Nyerere day ni tarehe 14 mechi za kufuzu zinachezwa tarehe 16 hizo jezi wangezindua lini kama sio before Nyerere day?
Kwamba zilikuwa ni za kuvaliwa tarehe 14 kisha zitupwe? Hayo chata ya nyerere ni theme tu ambayo imeendana na tukio la mwezi huu ila plan ilikuwa ni zitumike kwenye makundi endapo wangepita.
 
Kwamba zilikuwa ni za kuvaliwa tarehe 14 kisha zitupwe? Hayo chata ya nyerere ni theme tu ambayo imeendana na tukio la mwezi huu ila plan ilikuwa ni zitumike kwenye makundi endapo wangepita.
Tangu 1998 ni mbali sana..!Kwakweli wanetu wana ukame sana na kushiriki makundi, si kwa maandalizi hayo yaani..!
 
Reactions: BRN
mleta mada kwan walipoweka hiyo kitu hapo kifuani ww imekukwaza nn mbona ni kuonyesha heshima tu kwa moja ya mpigania uhuru wa afrika tusiwe hodari sana wa kukosoa kila jambo ukute hapo kisa hushabikii yanga unaona kila wanalofanya sio sahihi akili za kimaskini sana hizi
 
Kila siku humu zinaletwa nyuzi zaidi ya 10 kuhusu Yanga, ama kweli ni timu ya Wananchi [emoji169][emoji172]

Naipenda Yanga mshabiki wa Damu
Subiri mtolewe huko sudan mbona maji utaita mma
 
Reactions: BRN
Kwahiyo wakiweka hiyo picha ndio watawafunga Al Hilal?!
 
Mimi siyo shabiki wa Yanga lakini nachukia mada za Kizuzu kama hii.
 
Mbona hizo alama hazifanani... ulitaka waiweke hiyo nembo kwenye kwapa au
 
Mtoa mada una wivu sana iyo picha ya mtu iyo ni nembo ya mtu
 
Kwamba zilikuwa ni za kuvaliwa tarehe 14 kisha zitupwe? Hayo chata ya nyerere ni theme tu ambayo imeendana na tukio la mwezi huu ila plan ilikuwa ni zitumike kwenye makundi endapo wangepita.
Endapo? kwani wameshacheza second leg?
Ipe heshima football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…