JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Acha kujibaraguzi wakati tunakuona una chembe ya wali shavuni!Baada ya Mlandege kupita jana na Simba kupita leo nusu fainali, sasa ndipo naelewa ni kwanini timu ya Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya.
Yanga mliona mbali sana
Nyie ni nani aliwabatiza utopolo?Manara huyohuy akasem kwamb hakuna mashabik wajnga dunian Kam wa Simba n pia ndo mbatizaj wa Jin lenu maaruf mnalolipend la makolo
Kabeeesa