Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

Kwahi

Kwahiyo kazi ya VAR ni kuangalizia pono?.
Kumsaidia muamuzi ambaye yuko mbali na tukio kumsaidia kutoa maamuzi kwa kwaKukuangalia wewe mchezaji na matukio yote ya uwanjani ulichofanyiwa ama Fanya
 
VAR ilikuwepo ? Nikweli tunatofautiana uwezo wa kufikiri soma kuhusu kazi ya VAR
Mshaelezwa kazi hiyo ni ya teknolojia inayogundua kama mpira umevuka mstari Wa goli.

Kama ni VAR ndiyo malalamiko yenu mshajibiwa.

Lile goli la Lipuli lililokataliwa lilihitaji VAR??

Mpira ulikuwa mikononi mwa Mlata ndani ya goli Refa alisemaje ni kona!?
 
Back
Top Bottom