Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

Yanga bila maagano haiendi.

Simba wafungwe au wadhulumiwe huwa wanatulia tu... Utopwinyo Hadi bakora zipigwe...

Maskini Shahau Kambi...😔😔
Cha kushangaza eti Ahmed Ally akiongea nongwa Ila Ally Kamwe akibwabwaja ndio Sawa. Kwa wenye akili ule wote ni UJINGA na MWANZILISHI ni Manara. Tunakoelea watafanyiwa mizengwe wala wasiwe wananusa huko juu.
 
Ili liwe goli Ilitakiwa uo mpira uvuke uo mwamba kama hauja vuka sio goli, kwakua uo mwamba wa goli unaungana na post kwa juu na Chini una ungana na mstari(goal line) Labda useme mwili wa metacha ulivuka mstari ila si mpira alio ushika.
Ndugu mbumbumbu Inatakiwa ujifunze sheria za mchezo kwanza.
Na mpaka tukio ilo linatokea Yanga alikua mbele kwa Goli mbili.
Ilikuwaje sasa ikawa kona?
 
Msimu uliopita mchezaji alipigwa na mpira tumboni nje ya box refa akawapa penalty ikafungwa na chizi Morison
 
Back
Top Bottom