Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

mechi ya geita mchezaji amenawa mpira nje ya 18 yard refa kaweka kati penalty, wakashinda moja bila full time

na mwamuzi akikuwepo hapo karibu kabsa
 
Jenga hoja kwanza ili tukuelewe.
Hoja ya mashabiki wa utopolo ni kuwa, walifunga goli halali (na ni kweli), waamuzi kwa kutumia VAR wakalikataa.
Sasa mleta mada anzia hapo.
Walilikataa sababu hakuna kitu yanga wanaweza fanya zaidi ya kupaisha penati na kurudi nyumbani. Kama wangekuwa na uwezo wangefunga goli jingine.

Unapoona mtu anaishia robo elewa kuwa mpira una mambo mengi, hakuna kudeka deka kwenye klab bingwa "Kua uyaone", Yanga wamekua wameyaona, kombe 1 tayari la kufa kiume.
 
Ili liwe goli Ilitakiwa uo mpira uvuke uo mwamba kama hauja vuka sio goli, kwakua uo mwamba wa goli unaungana na post kwa juu na Chini una ungana na mstari(goal line) Labda useme mwili wa metacha ulivuka mstari ila si mpira alio ushika.
Ndugu mbumbumbu Inatakiwa ujifunze sheria za mchezo kwanza.
Na mpaka tukio ilo linatokea Yanga alikua mbele kwa Goli mbili.
Mbona hamjalalamika lile la Max alilopiga mlipocheza na Ihefu,refa akaweka kati mkashangilia. Mkuki mtamu kwa nguruwe
 
Balaa lake wangeandika barua mpaka UN badala ya FIFA...😅😅🤣🤣
Wangeandika FAO, WHO, SADEC, UNHCR, 😄😄. Ila Yanga kiboko wameitia jambajamba CAF siku tatu mfulilizo. Supu ya Jangwani hiyo. MAAGANO🙄🙄
 
Wangeandika FAO, WHO, SADEC, UNHCR, 😄😄. Ila Yanga kiboko wameitia jambajamba CAF siku tatu mfulilizo. Supu ya Jangwani hiyo. MAAGANO🙄🙄
Yanga bila maagano haiendi.

Simba wafungwe au wadhulumiwe huwa wanatulia tu... Utopwinyo Hadi bakora zipigwe...

Maskini Shahau Kambi...😔😔
 
Back
Top Bottom