kopo la chumvi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 257
- 464
Hahaaaaaa [emoji13][emoji13][emoji196]"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa [emoji13][emoji13][emoji196]"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Akishinda Yanga mnaumia, akifungwa bado mnapiga kelele mtafikiri nyie ndiyo mmefungwa"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Hili hapaKwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??
Wewe ndo maana popoma anakuonaga huna akili"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"
- DR LUC EYMAEL 2020
Wewe ndo maana popoma anakuonaga huna akili
We unasemaga ushabiki wa mpira ni upumbavu
Kumbe ni kolo
Jana baada ya yanga kudhuliwa goli umetoka pangoni kujifari, kuonesha kuwa wewe ni mfugo wa Rage mbumbumbu
Kuwa shabiki wa ukweli acha unafiki kama demu
Sasa hapo inakuwaje kona!!?? 🤣🤣🤣
Sawa tuseme kuwa siyo goli. Kwa tukio hilo hapo ilkuwaje ikawa Kona!!??Ili liwe goli Ilitakiwa uo mpira uvuke uo mwamba kama hauja vuka sio goli.
Jenga hoja kwanza ili tukuelewe.Kwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??
Kwanza Kwa Sheria zote za mpira zilizopo Sasa, refarii halazimiki kuchukua ushauri Wa msaidizi wake yeyote yule Kwa LAZIMA.Jenga hoja kwanza ili tukuelewe.
Hoja ya mashabiki wa utopolo ni kuwa, walifunga goli halali (na ni kweli), waamuzi kwa kutumia VAR wakalikataa.
Sasa mleta mada anzia hapo.
Ujinga ujinga na roho ya kimaskini tu ndivyo vinavyokutesa Kolowizards [emoji38]Malipo ni hapa hapa duniani
Utopwinyo sijui mkoje, ulichoweka hapo ndiyo maamuzi ya refarii??UJinga ujinga na roho ya kimaskini tu ndivyo vinavyokutesa Kolowizards [emoji38]View attachment 2956799
YANGA YAMEWAKUTAKwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??
Malipo ni hapahapa japo wao hawakufunga lile goli halikuingia kambaniKwenye ligi yetu iliwahi kutokea. Yanga MNAKUMBUKA??