Yanga mlishawahi kufungwa goli Refa akasema ni kona. MNAKUMBUKA??

Yanga bila maagano haiendi.

Simba wafungwe au wadhulumiwe huwa wanatulia tu... Utopwinyo Hadi bakora zipigwe...

Maskini Shahau Kambi...πŸ˜”πŸ˜”
Cha kushangaza eti Ahmed Ally akiongea nongwa Ila Ally Kamwe akibwabwaja ndio Sawa. Kwa wenye akili ule wote ni UJINGA na MWANZILISHI ni Manara. Tunakoelea watafanyiwa mizengwe wala wasiwe wananusa huko juu.
 
Ilikuwaje sasa ikawa kona?
 
Msimu uliopita mchezaji alipigwa na mpira tumboni nje ya box refa akawapa penalty ikafungwa na chizi Morison
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…