Wameingia wachache na ushindi umekosa bwana mbumbumbu!Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.
Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?
Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.
Uzi tayari.
Yaani mtu anunue jezi ili aingie bure akakae na kajamba nani kuliko atoe buku teni akakae VIP?Simba waliingia wengi Kwa Kiingilio cha sh ngap?
Jezi za Yanga bei gani?
Sio wote walikuwa na jez tayar hivyo ama wamelazimika kununua au kutoa kiingilio cha juu
Shida iko wapi?Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.
Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?
Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.
Uzi tayari.
Una uhakika
Wameingia wachache na ushindi umekosa bwana mbumbumbu!
Kwahiyo mmeachana tena habari za clean sheet ya 3-0?
Sasa hapo ww matako yanakuwashia nn?
Kama na jezi bure sawa
Nimelia saana nilipoona majukwaa yapo wazi. Hivi mngeweka kiingilio hali ingekuwaje leo?Shida iko wapi?
mashabiki wengi wa simba jana waliingia uwanjani baaa ya simba kupata zile goli...lkn dakika 30 za mwanzo uwanja ulikuwa na mashabiki chini ya 10000,lkn pia fikiria shabiki km mimi sina jezi ila kiingilio bure ukiniuliza kipi nichague kati ya kununua jezi hata km ya 10000 tu ila ntaingia uwanjani bure au ninunue tiketi ya 5000 then niende uwanjani na nguo zozote unadhani ntachagua hiyo gharama ya kununua jezi?Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.
Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?
Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.
Uzi tayari.
Mwanaume unakuwaje unalia lia hovyo hata kwa mambo ya kipuuzi kama haya. Una msongo wa mawazo?Nimelia saana nilipoona majukwaa yapo wazi. Hivi mngeweka kiingilio hali ingekuwaje leo?
Hauna akili hii ni yenu janaNimelia saana nilipoona majukwaa yapo wazi. Hivi mngeweka kiingilio hali ingekuwaje leo?
Siyo kweli, unaongelea mambo ya kufikirika. Upande wote wa geti kuu ulijaa kabla ya mechi, mapengo yalikuwa upande wa pili tena sehemu za juu tu. Kwa makadirio jana kulkuwa na mtu zaidi ya 40,000. Leo Yanga haijaingiza idadi hiyo.mashabiki wengi wa simba jana waliingia uwanjani baaa ya simba kupata zile goli...lkn dakika 30 za mwanzo uwanja ulikuwa na mashabiki chini ya 10000,lkn pia fikiria shabiki km mimi sina jezi ila kiingilio bure ukiniuliza kipi nichague kati ya kununua jezi hata km ya 10000 tu ila ntaingia uwanjani bure au ninunue tiketi ya 5000 then niende uwanjani na nguo zozote unadhani ntachagua hiyo gharama ya kununua jezi?
kwahiyo itoshe kusema mashabiki wa yanga hawakuingia uwanjani bure km unavyosema,wameingia uwanjani kwa gharama kubwa zaii ya ile waliyolipa mashabiki wa simba jana
Ina maana Simba wao hawakuvaa jezi?Simba waliingia wengi Kwa Kiingilio cha sh ngap?
Jezi za Yanga bei gani?
Sio wote walikuwa na jez tayar hivyo ama wamelazimika kununua au kutoa kiingilio cha juu
[emoji3][emoji3]Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro[emoji16]
asilimia kubwa ya hao mashabiki wameingia game ikiwa inaendelea hasa baaa ya simba kufunga zile goli,japo kwenye TV ila tuliona mashabiki walivyokuwa uwanjani kabla na baada ya mechi ilivyokuwa inaendeleaSiyo kweli, unaongelea mambo ya kufikirika. Upande wote wa geti kuu ulijaa kabla ya mechi, mapengo yalikuwa upande wa pili tena sehemu za juu tu. Kwa makadirio jana kulkuwa na mtu zaidi ya 40,000. Leo Yanga haijaingiza idadi hiyo.