Yanga mmeingizwa bure ila mmeingia wachache kuliko Simba walioingia jana kwa pesa zao

Yanga mmeingizwa bure ila mmeingia wachache kuliko Simba walioingia jana kwa pesa zao

Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro[emoji16]
Kweli ndio maana mashabiki wa simba walikuwa wanaenda airport kupokea wageni siku za kazi na kumbeba raisi wao mpaka makao makuu kwenye kiti kama mfalme.
 
asilimia kubwa ya hao mashabiki wameingia game ikiwa inaendelea hasa baaa ya simba kufunga zile goli,japo kwenye TV ila tuliona mashabiki walivyokuwa uwanjani kabla na baada ya mechi ilivyokuwa inaendelea
Na hiyo point yako ina maana gani hasa maana mnasema leo ilikuwa siku ya kazi sasa haudhani hao walioingia baadae jana walichelewa kutoka katika mishe zao? Embu dadavua unachotaka kusema.
 
Na hiyo point yako ina maana gani hasa maana mnasema leo ilikuwa siku ya kazi sasa haudhani hao walioingia baadae jana walichelewa kutoka katika mishe zao? Embu dadavua unachotaka kusema.
mm sijasema leo siku ya kazi,soma tena komenti yngu ya kwanza
 
Kwa utafiti wangu mdogo ni kwamba, mashabiki wengi wa Yanga ni halisi tena wana uchungu pia na timu na wengi ni wenye umri mkubwa.

Simba ina mashabiki wengi lakini wengi ni fuata mkumbo ,yaani likitamkwa neno mnyama mtu anafeel aje sijui
 
Game zote mbili ya jana na leo idadi ya mashabiki ilikua inaongezeka uwanjani kadiri muda ulivyokua unaenda nafikiri sababu ni siku ya kazi na muda sio rafiki.
 
Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro[emoji16]
Watu mmekariri.

Eti siku ya kazi. Siku zingine siyo za kaziee.. mna akili za kitumwa sana.

Mijitu iliyoajiriwa ni mateka mpaka wa fikra.

Huyo aliyekuajiri angekua na akili km zenu za kuajiriwa leo angekuajiri,?
 
Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro😁
No

Siku zote wanaojaza mechi za Yanga ni mashabiki wa Simba kwasababu ni wadau wa sports

Mlipoweka kigezo cha mtu kuingia lazima awe kavaa yale magagulo ndio hapo mlipojiharibia
 
Hivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.

Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?

Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.

Uzi tayari.
Sharti lililo taka kuvaa jezi ya yanga iliyo andikwa GSM lilikuwa la kipuuzi
 
Game zote mbili ya jana na leo idadi ya mashabiki ilikua inaongezeka uwanjani kadiri muda ulivyokua unaenda nafikiri sababu ni siku ya kazi na muda sio rafiki.
Tunajua siku zote mbili zilikuwa "za kazi" kama unavyoziita, sasa tuchukulie muonekano wa uwanja kipindi cha pili
 
Ulisema Simba tunanufaishwa na Yanga kutangaza kiingilio bure. Kwahiyo tuwashukuru Yanga kwanza kwa kutunufaisha kwa uwingi wa watu jana.
 
Back
Top Bottom