Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
Kama ulitoa waraka wa Yanga kuifaidisha Simba, kwanini usitoe pongezi kwa faida uliyopata? Kama kitu kimekupa faida, kipongeze.Wewe itakuwa ni mwanasiasa tena wa siasa za CCM. Nyie ndiyo mnapenda unafki wa kupongezana pongezana hata kwa mambo yasiyostahili. Mtu anatimiza wajibu wake unaandaa maandamano ya kumpongeza. Mtu anaenda uwanjani kwa utashi wake, labla kwa kuchagizwa na unafuu wa bei ya tiketi unataka klabu pinzani itoe waraka wa kuwapongeza.
Kama ni wajibu na hawatakiwi kupongezwa, kwanini huwa tunawashukuru baada ya Simba Day na Yanga Day?