Kweli ndio maana mashabiki wa simba walikuwa wanaenda airport kupokea wageni siku za kazi na kumbeba raisi wao mpaka makao makuu kwenye kiti kama mfalme.Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro[emoji16]
Na hiyo point yako ina maana gani hasa maana mnasema leo ilikuwa siku ya kazi sasa haudhani hao walioingia baadae jana walichelewa kutoka katika mishe zao? Embu dadavua unachotaka kusema.asilimia kubwa ya hao mashabiki wameingia game ikiwa inaendelea hasa baaa ya simba kufunga zile goli,japo kwenye TV ila tuliona mashabiki walivyokuwa uwanjani kabla na baada ya mechi ilivyokuwa inaendelea
,[emoji1787]Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro[emoji16]
mm sijasema leo siku ya kazi,soma tena komenti yngu ya kwanzaNa hiyo point yako ina maana gani hasa maana mnasema leo ilikuwa siku ya kazi sasa haudhani hao walioingia baadae jana walichelewa kutoka katika mishe zao? Embu dadavua unachotaka kusema.
Watu mmekariri.Leo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoro[emoji16]
Hajui kama machozi ya mwanaume yana thamaniMwanaume unakuwaje unalia lia hovyo hata kwa mambo ya kipuuzi kama haya. Una msongo wa mawazo?
Porojo tuSimba waliingia wengi Kwa Kiingilio cha sh ngap?
Jezi za Yanga bei gani?
Sio wote walikuwa na jez tayar hivyo ama wamelazimika kununua au kutoa kiingilio cha juu
NoLeo siku ya kazi, mashabiki wengi wa Yanga ni wafanyakazi..,Simba masela /wahuni wengi na wacheza vigodoroš
Mwache ajidanganye wakati mungine kuna watu wabishi kwa kitu halisi bila sababu yoyote ya msingiHauna akili hii ni yenu jana
Sharti lililo taka kuvaa jezi ya yanga iliyo andikwa GSM lilikuwa la kipuuziHivi hii Yanga ina mashabiki kweli au tumekuwa tunadanganyana tu muda mrefu.
Inakuwaje Simba iliyotoka katika kipindi kigumu iingize mashabiki wengi jana kuliko nyie mlioambiwa mtaingia bure leo tena katika mechi ya kihistoria?
Nasema ya kihistoria kwa sababu leo mlitegemewa mpate ushindi wenu wa kwanza katika Klabu Bingwa hatua ya makundi kwa hiyo tulitegemea uwanja ufurike lakini wapi.
Uzi tayari.
Wazee wa kukurupuka...Sharti lililo taka kuvaa jezi ya yanga iliyo andikwa GSM lilikuwa la kipuuzi
Tunajua siku zote mbili zilikuwa "za kazi" kama unavyoziita, sasa tuchukulie muonekano wa uwanja kipindi cha piliGame zote mbili ya jana na leo idadi ya mashabiki ilikua inaongezeka uwanjani kadiri muda ulivyokua unaenda nafikiri sababu ni siku ya kazi na muda sio rafiki.
Umelia? wewe ni mwanaume kweli?Nimelia saana nilipoona majukwaa yapo wazi. Hivi mngeweka kiingilio hali ingekuwaje leo?