Yanga mmeingizwa bure ila mmeingia wachache kuliko Simba walioingia jana kwa pesa zao

Kama ulitoa waraka wa Yanga kuifaidisha Simba, kwanini usitoe pongezi kwa faida uliyopata? Kama kitu kimekupa faida, kipongeze.
Kama ni wajibu na hawatakiwi kupongezwa, kwanini huwa tunawashukuru baada ya Simba Day na Yanga Day?
 
Kupongeza ni chaka la wanafki na chawa kuanzia katika siasa hadi mnaleta kwenye mpira, ndiyo maana mnafikia hatua mnashindwa kutofautisha kati ya kushukuru, kupongeza na kutambua matendo ya mtu. Jaribu kujua tofauti kati ya vitu hivyo vitatu itakusaidia sana.
 
Nimekuuliza mbona Simba na Yanga huwa zinawapongeza mashabiki wao wakijaa kwenye Simba na Yanga Day?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…