PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Napenda kuushukuru uongozi wa Yanga ambao kupitiabmsemaji wetu Ali Kamwe walitutangazia kuwa Tickets za VIP zote ni Sold Out.
Naomba niwakumbushe kwamba, maadam VIP zimeshauzwa zote, ni vyema wakatutangazia mapema kuhusu kuingia bure siku ya Wananchi ili tuweze kujiandaa kuujaza Uwania, na tuionyeshe dunia kuwa Yanga ina watu.
Kama tunavyojaa kwenye kunywa supu, tutajitokeza kwa wingi siku hiyo ya Wananchi lakini mtutangazie mapema kuhusu kuingia bure ili tuwe na uhakika, au kama tutatakiwa kulipia basi tujiandae kwenda vibanda umiza.
Ila Chama langu nawaamini hamtatuangusha, lazima mfadhili atatununulia tiketi tu.