Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

Timu Zote Zenye Uwezekano Wa Kukutana Na Simba Robo Finali Champions League Zipo Top 5

Huku Timu Moja Kati Ya Tatu Ambazo Zinaweza Kukutana Na Yanga Shirikisho Ipo Top Ten Nafasi Ya 10
 
Timu zilizoshika nafasi ya pili katika makundi ya shirikisho

Kundi A: USM Alger: Huyu alifanikiwa kuongoza kundi D la shirikisho mwaka 2018...aliibugiza Yanga goli 4-0 pale jijini algers nchini Algeria katika mechi ya kwanza tu ya ufunguzi wa kundi...itoshe kusema kuwa yanga aliburuza mkia akiwa na jumla ya alama 4 nyuma ya Gormahia,Rayon sport na USM Alger

Kundi B: Rivers United ....huyu aliwazamisha mwiko utopolo nyumbani na ugenini

Kundi C: Pyramids...licha ya Yanga kuihamisha mechi ikachezwe kirumba mwaka 2019...Pyramids walikimaliza kipakti cha Salama kwa goli tayu za kibabe na kule misri waliwafunga utopolo bao 2....Yanga aliaga mashindano ya shirikisho kwa staili hiyo.


Hivyo yanga anakwenda kukutana na wajanja wake na itoshe kusema kuwa wameumaliza mwendo
Duh kwa hiyo wahuni wote waliowahi kuigonga Yanga ndiyo wanaweza kupangwa naye tena? Aiseee.
 
Mwanamke ambae ushakuwa nae kwenye mahusiano mkiachana ukikutana nae huwa havungi...unamla tu
Naishauri CAF wawapangie wote wa3 waje kumgonga kwa pamoja. Hiyo mechi weka mbali na watoto. Na game kama hizo kwenye geto la demu huwa zinanoga sana 🤣😂🤣
 
Back
Top Bottom