Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ndio nilichowakumbusha, wenzako wengi wamesahauTunapambana na shirikisho kwa sasa hizo nyingine ni mbambamba
makalio yakoYanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Nawakumbusha tu
Bado mpo chini ya Simba, kimataifasoooo whaaaattttt
Nani kakuuliza?Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Nawakumbusha tu
Natoa elimu ya bureNani kakuuliza?
Mambo ya yanga yanakuhusu Nini ?Ndio nilichowakumbusha, wenzako wengi wamesahau
kwaiyo tukusaidie nn mkuu naona kama bado una wengeYanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa
Nawakumbusha tu