Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo

Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That

Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa

Nawakumbusha tu
Europa Kuna Manchester na Barca usisahau hilo.
 
Back
Top Bottom