Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Siasa zinakufaa lakini huku una-hang hang tu yani unapwaya.Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That
Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa
Nawakumbusha tu
Huku waachie akina Scars na Tate Mkuu Kijana [emoji28]