Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo

Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That

Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa

Nawakumbusha tu
Siasa zinakufaa lakini huku una-hang hang tu yani unapwaya.

Huku waachie akina Scars na Tate Mkuu Kijana [emoji28]
 
Mimi sihitaji msaada, nyie ndio mnatakiwa msaidiwe maana ni kama mmesahau mna miaka 25 kushiriki katika Champions League
Inakuhusu nini hata kama YANGA FC wakiwa na miaka 200 bila ya kufika robo fainali au kubeba kombe lolote la Klabu Bingwa Africa?

Pili pili usiyoila inakuwashia nini we Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Mikia/Ngada/Zuwena FC [emoji848][emoji38]
 
Hapo ni sawa na timu iliyoshinda ligi daraja la kwanza inajilinganisha na timu ilifungwa huko ligi kuu.

Bila kusahau huko ligi dalaja la kwanza ishachezea kichapo cha 2:0 mechi ya kwanza.

Yanga mfurahie tu ushindi wenu huko huko chini kwa walioshushwa dalaja.
 
Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo

Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That

Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa

Nawakumbusha tu
Tunekusikia, mnyama 🤔
 
Mnariiiinga!!!!! Kisa tu kucheza makundi kombe la mabingwa!! TP-Mazembe wenye makombe kadhaa ya mabindwa na shirikisho wanacheza na kupigwa na Yanga kwenye kombe mnalolibeza waseme Nini, enyi kinyumenyume makolo? Sungura zilipomshinda alisema ni mbichi....!
 
Inakuhusu nini hata kama YANGA FC wakiwa na miaka 200 bila ya kufika robo fainali au kubeba kombe lolote la Klabu Bingwa Africa?

Pili pili usiyoila inakuwashia nini we Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Mikia/Ngada/Zuwena FC [emoji848][emoji38]
Hasira za nini wakati nimewakumbusha tu
 
Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo

Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That

Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa

Nawakumbusha tu
Club bingwa kwenyewe ndiko mnaingia kinyumenyume uwanjani ?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tumeshasema maneno kidogo, magoli mengi...
Haijalishi tuko wapi...
Mmepigwa 3 mzuka... tumepiga 3 mzuka nani ni nani?
Mmefunga hizo 3 mashindano gani ili ujilinganishe na Simba?

Simba amefungwa 3 akishiriki mashindano ya juu kabisa ya CAF ngazi ya vilabu na Yanga amefunga 3 mashindano ya chini.

Kwa maana hiyo huwezi kuilinganisha Simba na Yanga kwasasa vinginevyo timu zote hizi mbili zingekuwa kwenye mashindano aidha ya CAFCL ama CAFCC ndo tungelinganisha.
 
Kombe la looser

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Wewe kuna mahali ulisema Yanga hatashinda game hata moja kwenye haya mashindano the so called looser kwa kwenda mbali zaidi ukataka tuwekeane pesa nikakushauri kama hela unazo weka mkeka upate mara nyingi zaidi ya tutakazo wekeana sisi.

Sijui kama umetekeleza hili?
 
Kumbe hata ww ulikuwa huamini kama mtashinda basi mmebahatisha safari bado inaendelea weka akiba kidogo ya maneno

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Tumeshasema maneno kidogo, magoli mengi...
Haijalishi tuko wapi...
Mmepigwa 3 mzuka... tumepiga 3 mzuka nani ni nani?

Kwa ulinganifu huu unazani tunacheza wote kwenye league inayofanana? Kila mtu acheze na ashinde mechi zake..... yanga bado watajifunza kwa simba zaidi na zaidi
 
Kumbe hata ww ulikuwa huamini kama mtashinda basi mmebahatisha safari bado inaendelea weka akiba kidogo ya maneno

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Niliweza kushinda kwenye ardhi ya muarabu nije nishindwe kwenye ardhi yangu? Naiamini timu yangu wewe. Nilichokataa ni wewe ulitaka kunihamisha kutaka kuoneshana jeuri ya pesa kitu ambacho kwangu huwa hakina maana.

Weka huo mkeka wako kama unaamini tumebahatisha
 
Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo
Lakini Jumamosi iliyopita mmepigwa TAKO TATU pale kwa mkapa, nawakumbusha tu!
 
Tatizo ni kwamba huwa mnapenda sana kujiona ninyi ni wakubwa kuliko wote, na inapo tokea tofauti mnaumia sana na hatujuwi mnateseka mkiwa wapi. Kumbuka hata wewe wakimataifa msimu ulio pita ulicheza shirikisho. La msingi inakupasa kujuwa kuwa shirikisho ni levo ya yanga. Na hajatudondosha bado. Angalia kocha wenu alicho kisema na anacho fanya. Ujuwe simba anamashabiki wa mchongo, viongozi wa mchongo , wachezaji wa mchongo halafu mnapenda mambo makubwa kuliko uwezo wenu. Sasa mnaitisha vikao vya kuifunga yanga na bado hamjafaulu jamani hata yanga wanatamani mafanikio ya simba lakini kwa juhudi uwanjani na siyo makelele sisi wakubwa . Azamu kesho unatowa hutowi . Muwe mnabakisha maneno ya kujitetea.
 
Yanga nawapongeza kwa kidogo mlichopata, lakini naona kama mmesahau mpo kombe la Shirikisho baada ya kushindwa kwenye kombe la Mabingwa, ambapo ndio Simba ilipo

Yanga haijawahi kucheza hatua ya Makundi kombe la CAF Champions League tangu mwaka 1997...Think about That

Ni kama mashindano ya Europa Leaugue wanapocheza akina Sevilla, Westham, Villarreal vs Mashindano ya UEFA Champions League wanapocheza Real Madrid na Bayern Munich, ni vitu viwili vyenye quality ya tofauti kabisa

Nawakumbusha tu
Hivi Yanga tayari mabingwa?
 
Niliweza kushinda kwenye ardhi ya muarabu nije nishindwe kwenye ardhi yangu? Naiamini timu yangu wewe. Nilichokataa ni wewe ulitaka kunihamisha kutaka kuoneshana jeuri ya pesa kitu ambacho kwangu huwa hakina maana.

Weka huo mkeka wako kama unaamini tumebahatisha
Kwani nyinyi ni wa kwanza kushinda taifa au kushinda kwenye ardhi ya waarabu

Back
Top Bottom