Yanga msisahau mpo Shirikisho Afrika baada ya kuondolewa Champions League ilipo Simba

zile 3 za mwarabu bado zinakupa kichefu chefu.
 
SO WHAT[emoji2369][emoji2368][emoji1745]
 
kwaiyo tukusaidie nn mkuu naona kama bado una wenge

kwaiyo tukusaidie nn mkuu naona kama bado una wenge
Mimi sihitaji msaada, nyie ndio mnatakiwa msaidiwe maana ni kama mmesahau mna miaka 25 kushiriki katika Champions League
 
Endelea kunyooshwa huko champions league,kikubwa tu omba Yanga atoke mapema
Kila mtu ashinde mechi zake
 
Ingeshangaza dunia kama bwana yule angepigwa na yule bwana ambae tayar ashajitangaza kuwa ni mzembe
 
Natoa elimu ya bure
Naona umeamua kuwachokonoa. Mara ya mwisho kucheza hatua hizi kwenye CL, hata Kikwete alikuwa hajawa Rais, can you imagine? Yaani Nyerere alikuwa hai, leo kuna watu wazima ambao walikuwa hawajazaliwa wakati Nyerere yupo hai.

Simba anabatizwa kwa moto, vipigo hivi vinaimarisha ujasiri wa timu kupambana na yoyote. Mapungufu ya timu yapo na yakitatuliwa huu ujasiri utakuja kuongea wakati ukifika.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Si tunaangalia ushindi, hayo mnayo ongelea mama nae angeweka ma fungu ila kwa kuitambua umuhimu wa ushindi akaweka m 5, wenzetu jana hata buku mlikosa ko tumuunge mama kwa leo
 
Umezunguka sana mkuu, ungesema tu kombe la losers in manara's voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…