Haibadili nafasi ya daktari....ndugu zuzuView attachment 3329116
Mwana Mbumbumbu FC, Ngada FC, Kolo wizard, Pambana na hii. Uje na majibu.
CC Bantu Lady, Kalpana, GENTAMYCINE, Mshana Jr etc
Mind you, hii nitaserereka na wewe hadi ukubali kuwa mmefungwa na Yanga mara 4 mfululizo. labda uwaombe hao niliowataja wakuombee msamaha. Naamini Tate Mkuu atanipa sapoti kubwa sana kwenye hili hadi unyooke KOLO WEWE.!!!
Hata kwenye mbususu, wakati mwingine mwenye mbususu anajilengeshea mwenyewe..!!! Hivyo, the fact kwamba imeingia kwa nani ndo kinachomata.Haibadili nafasi ya daktari....ndugu zuzu
Mechi ya 4 tuliwafunga ila kupitia lango lenu
Hahahaaa. Mtani amewakosea sana nyie 5imba wenzie.Yamekuwa hayo mtaniππππ
Acheni kusifia energy zisizowahusu...huo ni ulofa....ile mechi ya kayoko na ikampoteza mazima...pumbavu zake...kwanza mpira ulishatoka yy angekataa lile goli ila kwa sbb kashalewa jibustiii akawa amedevelwa....Hata kwenye mbususu, wakati mwingine mwenye mbususu anajilengeshea mwenyewe..!!! Hivyo, the fact kwamba imeingia kwa nani ndo kinachomata.
Kabisa yaani rafiki.Hahahaha,ujue wakubwa hawakosei wakisema
Kweli nyani haoni kundule kwani nyie April nane mlifanyaje. Sasa tukuogope wewe mwembe wa uwani tushakugonga mara ya nne mfululizo.Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
KAGONGE BASI CHAMPIONS LIGI MARA 4 ROBO FAINALI MFULULIZO UJULIKANE HATA KIMATAIFA HYO KUMFUNGA SIMBA MARA 4 MNAJUA KABISA NI UJINGA NA MAKANDO KANDO KIBAOO HAPO KATI...NDO MAANA MMEISHIA MAKUNDIKweli nyani haoni kundule kwani nyie April nane mlifanyaje. Sasa tukuogope wewe mwembe wa uwani tushakugonga mara ya nne mfululizo.
Kwani nani hajawahi kufika robo na fainali? Wewe ndio mara yako ya kwanza kuingia fainal ya Total Confederation.KAGONGE BASI CHAMPIONS LIGI MARA 4 ROBO FAINALI MFULULIZO UJULIKANE HATA KIMATAIFA HYO KUMFUNGA SIMBA MARA 4 MNAJUA KABISA NI UJINGA NA MAKANDO KANDO KIBAOO HAPO KATI...NDO MAANA MMEISHIA MAKUNDI
Anaeshabikia kuifunga Simba ni zuzu kama zuzu mwingine...kwa sbb Simba amekufunga vizuri tuu tena kwa magoli mengi ambayo mengine rekodi hujavunja...ukiona unashagilia kumfunga Simba tena kwa goli zingine za kujifunga....ujue umeishiwa...hauna cha kujivunia mpk sasa...ushindi wa kubebwa na makando kando kibaoooo...Kwani nani hajawahi kufika robo na fainali? Wewe ndio mara yako ya kwanza kuingia fainal ya Total Confederation.
Nikuogope ww wakati na kugonga kila siku mpaka umebadilisha benchi la ufundi, huna tumu ya kunifunga.
Nimekupiga mara nne mfululizo, lini ulifanya hivyo. Wewe kama mwembe wangu wa uwani.Anaeshabikia kuifunga Simba ni zuzu kama zuzu mwingine...kwa sbb Simba amekufunga vizuri tuu tena kwa magoli mengi ambayo mengine rekodi hujavunja...ukiona unashagilia kumfunga Simba tena kwa goli zingine za kujifunga....ujue umeishiwa...hauna cha kujivunia mpk sasa...ushindi wa kubebwa na makando kando kibaoooo...
Hyo 4 mnaijua nyie huko utopoloni...kwa sbb ndo mnaiona hyo mara 4...bila hongo nyie ni walaini kama mkate wa boflo....ndo maan mnaishia makundiNimekupiga mara nne mfululizo, lini ulifanya hivyo. Wewe kama mwembe wangu wa uwani.
Sasa kama Yanga alibebwa kwa nini ulilivunja benchi lako la ufundi?Hyo 4 mnaijua nyie huko utopoloni...kwa sbb ndo mnaiona hyo mara 4...
Nani kavunja benchi la ufundi? Hizo taarifa mbona hazipo..kuleta kocha mpya mwenye wasaidizi wake kuna shidoo? Mbona nyie mmefukuza kocha kisa mmepigwa mfululu...Azam...tabora...hapo mmebadili benchi?Sasa kama Yanga alibebwa kwa nini ulilivunja benchi lako la ufundi?
Kwani yule kocha wenu aliyekula tano yupo wapi?Sawa nimepigwa na Tabora na Azam,ila sio wewe Kolo FC sababu uwezo hauna.Nani kavunja benchi la ufundi? Hizo taarifa mbona hazipo..kuleta kocha mpya mwenye wasaidizi wake kuna shidoo? Mbona nyie mmefukuza kocha kisa mmepigwa mfululu...Azam...tabora...hapo mmebadili benchi?
Uwezo tunao tunatembea nao vifua mbeleee...njooni clean kabisaa acheni kuruka mageti...acheni sindano....acheni kuhonga wachezaji na marefa...muone kiama chenu...yule kocha alishindwa majukumu yake ya kumpanga Manula ambae hakua fit labda na yy alikula mlungula....Kwani yule kocha wenu aliyekula tano yupo wapi?Sawa nimepigwa na Tabora na Azam,ila sio wewe Kolo FC sababu uwezo hauna.
Mmepewa penalty kumi na tatu ndio mnaongoza kwa penati zisizo eleweka,mechi zenu marefa ndio wanauwa man of the match. Sawa Manula kala Mlungula mbona mlikataa kuumuza Azam kama kweli kala Mlungula.Uwezo tunao tunatembea nao vifua mbeleee...njooni clean kabisaa acheni kuruka mageti...acheni sindano....acheni kuhonga wachezaji na marefa...muone kiama chenu...yule kocha alishindwa majukumu yake ya kumpanga Manula ambae hakua fit labda na yy alikula mlungula....
Mwakakundi FC.....
Simba imeshawachabanga 6,5,4,4...vichapo vikali kabisa....
Wahongaji FC
Hyo kumuuza ni mpango wa club haiwahusu...ndo maana yuko benchi...Mmepewa penalty kumi na tatu ndio mnaongoza kwa penati zisizo eleweka,mechi zenu marefa ndio wanauwa man of the match. Sawa Manula kala Mlungula mbona mlikataa kuumuza Azam kama kweli kala Mlungula.
Timu inacheza vipindi vitatu, kila mechi refa lazima awe man of the match, mechi ya Mashuja na Namungo mpaka watu wanaona aibu, maana matukio haya helezeki,mtu kapewa kadi nyekundu baadae TFF wakaamua waifute, juzi mechi imecheza vipindi tatu, penalty nyingine hazi elezeki.Hyo kumuuza ni mpango wa club haiwahusu...ndo maana yuko benchi...
Kama unaona rahisi kuzipata hizo penalty zitafuteni na nyie basi..
Au jigeuze ww ndo Simba anacheza na GSm family zile mbilinge mbilinge pale uwanjani ni kama fainali...ukiwa na mafoward kama wa simba lazima penalty zizaliwe...si wanakua wanajilinda hao ndugu zenu? Kwny kujilinda sasa lazima faulo zitokee..
NB...ukipewa penalty uwe na wachezaji wanaojua kuzicheza basi sio kupiga mipira hewani π π π π π π
Kabisa yani karia anaipendelea simba .kitendo cha yanga kuishia makundi Afrika ni karia kasababisha.Kwani walichokisema ni uongo! Tangu Wallace Karia aingie madarakani pamoja na Bodi yake ya ligi, wamekuwa wakifanya mambo ya kipuuzi tu kwa kuonesha waziwazi upendeleo kwa timu ya simba.
Ni uvumilivu tu ndiyo umeifikisha Yanga na viongozi wake mpaka leo.
Wewe kijana wa Rage tulia kwanza wakati wananchi wanapambana kuwanyoosha wapumbavu waliojazana pale TFF na Bodi ya ligi.Kabisa yani karia anaipendelea simba .kitendo cha yanga kuishia makundi Afrika ni karia kasababisha.
Yanga kila tukienda CAS tunagalagazwa sababu ya karia .ndio maana tunasema hatuchezi hatuchezi.
Alisikika topolo moja lenye hasira kali iliyochanganyikana na njaa.