Kama msivyoeleweka nyie na timu zenu 8...Timu inacheza vipindi vitatu, kila mechi refa lazima awe man of the match, mechi ya Mashuja na Namungo mpaka watu wanaona aibu, maana matukio haya helezeki,mtu kapewa kadi nyekundu baadae TFF wakaamua waifute, juzi mechi imecheza vipindi tatu, penalty nyingine hazi elezeki.
Tumia kichwa vizuri,issue siyo Simba,issue ni majibu ya upuuzi wa tff na TPLB kuhusu 8/3/2025Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Mpe majibu kwani hapo ZFA wapoUkweli usemwe, reasoning ya Watanzania iko chini sana na wewe ndio mfano.
Whether you are intelligent or stupid, there is always someone to back you up.Mpe majibu kwani hapo ZFA wapo
Ukijua 'KUKAZA' vizuri kila mara Mtu atatamani tu Kukutajataja Mitandaoni.
Hata Luc Eymael na Hajui Manara pia walikua sahihi.Daah! Mkubali mkatae Rage alikuwa sahihi.
Nimeamini Watanzania wengi ni mbumbumbu.Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?
Uzi ufungwe.Ukweli usemwe, reasoning ya Watanzania iko chini sana na wewe ndio mfano.
Mimi ni shabiki wa simba ila hapa umeandika upuuzi, yanga shida yao sio simba bali viongozi wa hovyo wa tff na bodi ya ligi, mechi namba 184 iliahirishwa kizembe mno.Mmekakamaa.. ooh Hatuchezi Hatuchezi..nawauliza je ikitokea mnakutana na Mnyama Simba kwenye mashindano ya shirikisho ya CRDB nako mtakimbia?