hiyo ndio mipango madhubuti sasa ya kuchochea mageuzi katika mpira wa miguu Tanzania.Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira
Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited
Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na GSM anatoa hela
Kwa mujibu wa rais wa Yanga Hersi, ujenzi wa uwanja huo utachukua muda wa miezi 18 mpaka 24 na ujenzi huo utaanza kesho
Ule uwanja wa kwenye laptopKlabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira
Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited
Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na GSM anatoa hela
Kwa mujibu wa rais wa Yanga Hersi, ujenzi wa uwanja huo utachukua muda wa miezi 18 mpaka 24 na ujenzi huo utaanza kesho
View attachment 3589197
😅😄😀😂🙅♂️🙆♂️Ule uwanja wa kwenye laptop
Wajinga tu hao. Wamejiamulia hiyo event haraka haraka kwa lengo la kutusahaulisha dodoma jiji tuMatapeli hao! Dodoma Jiji haisahauliki kamwe
Nina uhakika, baada ya hiyo miezi kupita. Hawatoweza kuutoa kwenye computer😅😄😀😂🙅♂️🙆♂️
Tunamfaidisha gsm, uwanja wenyewe usikute ukabeba watu buku tuUkiwa na connection mjini raha sana. GSM kajipatia ardhi ya kujenga magorofa yake bila jasho kubwa. Huo uwanja wa kunda utazungukwa na vitega uchuki vya jiiessiemuu then katikati itaachwa nafasi Kwa ajili ya uwanja wa mazoezi.
Hakuna uwanja wa mechi hapo. Ni uwanja wa mazoezi utakaozungukwa na magorofa ya GSM. Mjini akili tuu na konekaheni baaaasi.Tunamfaidisha gsm, uwanja wenyewe usikute ukabeba watu buku tu
Yanga kupitia Alikamwe, walizungumzia kuhusu jambo hili kabla hata hawajaenda kucheza na DodomaWajinga tu hao. Wamejiamulia hiyo event haraka haraka kwa lengo la kutusahaulisha dodoma jiji tu
Mjini Mipango,jamaa wanafika walipotakaUkiwa na connection mjini raha sana. GSM kajipatia ardhi ya kujenga magorofa yake bila jasho kubwa. Huo uwanja wa kunda utazungukwa na vitega uchuki vya jiiessiemuu then katikati itaachwa nafasi Kwa ajili ya uwanja wa mazoezi.
Ni kweli, nashangaa watu humu kusema tofautiYanga kupitia Alikamwe, walizungumzia kuhusu jambo hili kabla hata hawajaenda kucheza na Dodoma
Umeonaa mkuu!Wajinga tu hao. Wamejiamulia hiyo event haraka haraka kwa lengo la kutusahaulisha dodoma jiji tu