Soon utakuwa upo disappointedHakuna uwanja wa mechi hapo. Ni uwanja wa mazoezi utakaozungukwa na magorofa ya GSM. Mjini akili tuu na konekaheni baaaasi.
Wewe hushangai, huu ni mwonekano wa tatu wa sura ya uwanjja tangu mbwembwe zao zianze.
Wewe ndio utajinyonga kabisa ukiwaamini watoto wa mjini kichwa kichwa, shauri yakoSoon utakuwa upo disappointed
Hakuna cha utofauti hapo, huo ndo ukweli. Ni mara ya ngapi hii wanaleta agenda hiyo hiyo moja isiyoishaNi kweli, nashangaa watu humu kusema tofauti
OkHakuna cha utofauti hapo, huo ndo ukweli. Ni mara ya ngapi hii wanaleta agenda hiyo hiyo moja isiyoisha
Utaona picha soonBado siamini mpaka nione msingi😀
Hyo wanapooza dharau za DIARRA hamna uwanja hapoUtaona picha soon
Watu hawatanii kipindi hiki
Najua, roho inauma sana ila hamna namnaHyo wanapooza dharau za DIARRA hamna uwanja hapo
Kuna baadhi ya taarifa muhimu zimefichwa! Kwa mfano huo uwanja utachukua watazamaji wangapi, utakuwa na nini na nini nje, utagharimu kiasi gani cha fedha na kitarejeshwa kwa wanao ujenga kwa utaratibu gani, nk.View attachment 3589199
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira
Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited
Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na GSM anatoa hela
Kwa mujibu wa rais wa Yanga Hersi, ujenzi wa uwanja huo utachukua muda wa miezi 18 mpaka 24 na ujenzi huo utaanza kesho
View attachment 3589197
Si wanaanza kesho?Najua, roho inauma sana ila hamna namna
"Wahuni wanajenga uwanja"
Na wewe kajenge acha kujiliza lizaUkiwa na connection mjini raha sana. GSM kajipatia ardhi ya kujenga magorofa yake bila jasho kubwa. Huo uwanja wa kunda utazungukwa na vitega uchuki vya jiiessiemuu then katikati itaachwa nafasi Kwa ajili ya uwanja wa mazoezi.
Vp ule uwanja wenu wa kuchangishana umefikia wapi?Hakuna uwanja wa mechi hapo. Ni uwanja wa mazoezi utakaozungukwa na magorofa ya GSM. Mjini akili tuu na konekaheni baaaasi.
Wewe hushangai, huu ni mwonekano wa tatu wa sura ya uwanjja tangu mbwembwe zao zianze.
Gharib amesaini mkataba kwa upande wa GSM na Hersi amesaini kwa upande wa Yanga. Lakini Hersi ni mwajiriwa wa GSM. Kwa mujibu wa syllogism theory, huu mkataba umesainiwa na kampuni ya GSM pekee. Mark this postHili Jambo Eti Ndiyo Wanakuja Nalo Kuwapumbaza Kijani Na Njano
Waendelee Kupiga Shekeri
Kuna timu duniani ambayo haifugwi? Juzi tu Barca mwenyewe kafungwa na timu iliyokuwa kwenye hatari ya kushuka daraja! Simba ni mambumbumbu in Aden Rage's voice!Wajinga tu hao. Wamejiamulia hiyo event haraka haraka kwa lengo la kutusahaulisha dodoma jiji tu
Eng. Herci Said ni beneficiary mkubwa katika hili.. Hilo mbona halina ubishiRais wa Yanga Eng Hersi ndio GSM mwenyewe kamwe hataaminika akijinasibu kutetea Maslahi ya Yanga pale biashara ya pande hizi mbili inapofanyika.