Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

Uwanja wa kwenye Laptop. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wabongo wanalamika picha za ramani ya uwanja ni AI, hawajui dunia inahamia kwenye hiyo tekinolojia kurahisisha mambo🤣 😕
 
Kanjanja yanga asilimia 50 GSM asilimia 50 hakuna kikomo cha muda inamaana GSM kama kampuni itanufaika milele hadi mwisho wa Dunia.
Huu mkataba una tofauti gani na ule wa chifu Mangungo wa Msovelo?
 
Gharib amesaini mkataba kwa upande wa GSM na Hersi amesaini kwa upande wa Yanga. Lakini Hersi ni mwajiriwa wa GSM. Kwa mujibu wa syllogism theory, huu mkataba umesainiwa na kampuni ya GSM pekee. Mark this post
Mweyekiti ni taasisi sio mtu tulia kijana
 
Kamwe usiwaamini uto. Tangu miaka ya 2000 washadump vifusi na kupeleka grader pale Kaunda wakiwaaminisha uto wenzao kwamba wameanza ujenzi wa uwanja.

Ujenzi unaanza leo , mkandarasi ni nani?
Wewe kamuamini Mangungu
 
Kanjanja yanga asilimia 50 GSM asilimia 50 hakuna kikomo cha muda inamaana GSM kama kampuni itanufaika milele hadi mwisho wa Dunia.
Huu mkataba una tofauti gani na ule wa chifu Mangungo wa Msovelo?
Yanga tutawalisha watoto, wajukuu, vitukuu... Vya GSM hadi mwisho wa dunia
 
Ila hawa majamaa kila wakiona mambo kwa Timu ya Wananchi yanataka kwenda kombo basi wanatuletea hizi porojo. Lol.

Ngoja tuone mana wametuahidi muda mrefu sana
 
Mlokueko dar vipi ujenzi ushaanza?
 
Ila hawa majamaa kila wakiona mambo kwa Timu ya Wananchi yanataka kwenda kombo basi wanatuletea hizi porojo. Lol.

Ngoja tuone mana wametuahidi muda mrefu sana
Mtanii umesanuka mapema sana, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…