Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

Yanga na Singida Big Stars kubadilishana wachezaji

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.

1A809A9E-F013-4A4B-BB43-DB755F1EC0F4.jpeg
 
Hayo yote ni kwa mujibu wa Jemedari Said Kazumari. Kama itatokea kweli basi yatajirudia ya Feitoto alivyotolewa na Singida Utd kwenda Yanga.

View attachment 2319554
Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapa hakuna Kipya Kwetu.

Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu kama walivyotuiga Simba Day nao wana ( wakaja ) na Siku ya Wananchi.
 
Wenye Akili tunajua kuwa Singida Big Stars ni Yanga SC B hivyo hapana hakuna Kipya Kwetu.

Baada ya kuona Simba SC ina Mzungu Dejan na Wao pia wanalazimisha wawe na Mzungu wao yaani ni Full Kuigana tu ksma walivyotuiga Simba Day.
Tofauti ni kwamba mzungu wetu ni muuza madafu ila wenzetu mzungu wao anaujua mpira haswa.
 
Nakumbushia tu mmliki wa singida b star. Ni mshabiki lialia wa Yanga, kama itakuwa hivyo si ajabu kabisa. Kumbuka kipindi kile/ msimu
singida united inashuka daraja kwa sababu baadhi ya key player walipelekwa yanga.
Na baadhi ya kauli zake (mheshiwa) "alisema Yanga wangesema mapema wasingekuwa na shida". Baadae wadhamini wakaondoka na timu ikashuka daraja / madaraja.
 
Mbona kawaida yao hao Singida Big Stars, enzi zile wakiitwa Singida Utd waliwapa Yanga SC Fei Toto halafu wao wakashuka daraja.

Mwigulu ni mshamba mmoja hivi mwenye kiherehere cha kumiliki timu akishapiga dili zake.
 
Back
Top Bottom